HAHAHAHAAAAAAAA! IRRELAVANT KWAKO BUT VERY VERY RELEVANT KWA VODA WAJIREFECT HIZO KAMPUNI ZINGINE KWANINI ZILIFANYA HAYOOOO. Na Debby SIO MU ALIEJITOKEZA KUTUHUMU AU MZIMU ULE NA MPAKA MANAGEMENT IKATOA TAMKO KAMA MANAGEMENT SIO MTU YEYOTE WA WCB AMBAE SIO MSEMAJI WAO ALIKURUPUKA KUJIBU TUHUMA ZA DEBBY? NAOMBA UITAFUTE HIO INTERVIEW.
Amani hawakuamka asubuhi kutoa hio story ya UBAKAJI, ALIANZA VICTIM KUSHARE KWENYE INSTAGRAM YAKE OF WHICH ILIKUWA OPEN LAST TIME I CHECKED NA SCREEN SHOT ZIKO NYINGI SANAA. AKATOA MEDICAL REPORT NA RB HUMO HUMO KWENYE INSTA. OF WHICH VODA WAKIHITAJI KUJIRIDHISHA JUU YA LILE BANGO LAO WAMESHAJIRIDHISHA BY NOW. Ndo maana nakwambia wewe hii ishu umeidandia tuuu hujui, hata interview hujasikiliza yule meneja alijibu nini yaani umeiona hapa leo ukaivagaa mzima mzima.
Hapa sio mahakamani wala silazimiki kutoa ushuhuda wowote wa kumtia hatiani yoyote mimi nimewakumbusha kama mteja hawa VODA kuwa kuna mbakaji mwenye rb valid ambae ni fugitive kwenye bango lao moja. Kama mteja tu mwenye nia njema kwa kampuni. Sasa kama wanajali brand yao it enough wao kutumia RESOURCES zao kujiridhisha au wangoje aje kudakwa na interpol AIBU IZIDI KUWA KUBWA. Hahahaaa. Na tena itaonesha tarehe flani mteja Lara 1 wa vocha za buku directly na publicly alituambia kabisaaa tukachuna au whatever.
Ndo maana nikakwambia hii ishu huijui na hio interview ya Dai alivowavua nguo mademu zake wote hukuisikilizaa, ilikuwa na backlash balaaa, you simply have no clue. Iko wewe i google itakuja. Times have changed all you have to do is type key words and enter.
Mimi nimekwambia madai yangu yoote yapo google, kwa leo tunaanza hvio, Voda wakichuna TUTAANZA KUKUMBUSHANA TU KWA NJIA NJEMA NA KIMOJA KIMOJAAAAA. HARAKA YA NINI? RELAXXXXXXX! HII SIO KESI YA JINAI WALA MADAI HII NI KESI YA KIMAADILI.