Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni



Hamna emotional yoyote hapa Mkuu Tatizo watu hatupendi UKWELI ila anachokifanya jamaa hawakomeshi hao watu ila anajikomesha yeye mwenyewe na MAISHA yake


Angelipa deni lao kwa muda waliokubaliana yasingetokea hayo yote Mkuu


Hujawahi kusikia ule msemo wa wahenga usemao


"Cha MTU mvi"

Ndio hayo yanamnukia mwenzako sasa harafu yeye anafanya kuikimbia harufu kumbe yamepakwa mwilini mwake
 
kumbe inawauma eeh ?? hapo bado hamjasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hiki ndio najua mimi embu mueleze uyo kwaiyo bank wakatae kunikopesa m10 kwa dhamana ya nyumba kisa nadaiwa elfu saba na pesa X 🀣🀣🀣
 
hiki ndio najua mimi embu mueleze uyo kwaiyo bank wakatar kunikopesa m10 kwa dhamana ya nyumba kisa nadaiwa elfu saba na pesa X 🀣🀣🀣
Yani nimemuona bonge fala huyo jamaa.
Alichozingua karopoka sana mineno ya ujuaji miiingiiii halafu kichwani sifuri.
Yani NBC au CRDB washindwe kukukopesha kisa deni la mkopo Fasta ama kisa mkopo Fasta kapost picha yako mtandaoni na kuandika wewe tapeli!!???
Jinga kabisa huyo.
 
Mimi mgodi Wana salamu zangu. Sidhani kama watakaa wanikopeshe Tena. Waliponipigia simu nikawaambia Mimi mwanafunzi hata ada nimekula naomba mnikopeshe Tena nilipe adaπŸ˜‚πŸ˜‚

Nilipo ona simu zinazidi Kila Leo nikawaambia sikuwalazimisha kabisa mnikopeshe Wala sikujaza form ya mkopo.
 
Aaahaaa
 
Nielekeze hiyo mkuu unafanyaje !?
Kwenye call setting katafte huko utaikuta call barring.

Ila madhara yake ni kwamba hutopigiwa simu na yeyote wala kupokea sms kutoka kwa yeyote.

Ila wewe uwezo wa kupiga na kutuma sms utakuwa nao ikiwa hivo hivo kwenye call barring.

Hivyo kama laini ndiyo hiyo tu moja unaitegemea kwa mawasiliano na watu wa muhimu sitokushauri uweke hii setting, unless laini iwe haina issue sana kwako.

Lakini pia unaweza kujaribu "call fowarding" huko huko kwenye call settings then unaenda sehemu imeandikwa "always foward" itakuomba uingize namba then utaingiza namba ambayo si ya kitanzania mfano +2555 una save.

Watu wakikupigia wataambiwa namba wanayopiga haipo, japo kwenye sms wakituma zinafika na mchart kama kawaida.

Au option nyingine unaenda playstore una down load "call blocker".

Then unaifungua unaenda kwenye setting yake kwenye "block all unkown call, private number & hidden ID number" unaweka "ON" pote pale.

Kitakachotokea ni kwamba namba yeyote ambayo utakuwa hujaisevu kwenye simu yako wewe haitakuwa na uwezo wa kukupigia (yaani namba ngeni), zita blockiwa automatically hivo hakuna fala yeyote atakae kusumbua.

Na kwenye sms setting unaenda kwenye "sparm sms" unaweka "ON" ili hata wakituma sms zao za vitisho wewe hutoziona.

Hivyo ndivyo mimi huwa nadhibiti usumbufu wa hawa mafala wanao kopesha kausha damu zao mtandaoni.
 
Ula
Sawa kama hutarajii kukopa bank za tanzania maisha Yako yote sawa ila kama utahitaji kukopa Kaa ukijua hao jamaa washapeleka record zako sababu uliweka nida watanzania wengi hawajui hii kitu na hayo madeni yanapanda Kwa riba Kila mda mliokubaliana
Ila wewe muongo daaaah
 
Mbna mnatudai na hatuwalipi na tunakopeshwa na bank acheni uboya benki wanaakili sio kama nyinyi wapumbafu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…