mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Kwa taarifa yako hawa hawana ofisi kabisa.watu wametafuta ofisi wafike ili wahojiane vizuri na wanaotuma sms na kupiga imeshindikana kabisa,ni wahuni tu wenye hela.Kampuni imekupa mkopo kwa mfumo ambao sio physically kwa maana haukufika ofisini.
Hili sio kosa la mkopaji hata 0.1%.unampaje mtu mkopo kwa dhamana ya taarifa peke yake??🙄🙄🙄,HIyo ni njia inayowapa urahisi sana matapeli kutekeleza mipango yao ya kudhulumu pesa.
Well,ktk makubaliano ya kabla ya kukopa,kuna sehemu tulikubaliana kwamba watajulishwa watu wote walioko ktk simu??Kwasababu kampuni haijui background zako kama wewe una rekodi za utapeli au ni mtu muungwana, na pia ukumbuke kampuni haijui wapi unaishi ili pengine waweze kukufuata ili hatua za huo ustaarabu zitumike.
Unajua hilo ni kosa kubwa sana ndio maana hata wakitafutwa kwa mahojiano wanakosa nguvu ya kutoa ushirikiano hata utoe ahadi kwamba unakwenda na hela ya mdaiwa ukawape watagoma kabisa.
Swala la namna ya kurejesha,na namna ya kufanya ili kutofilisika halihusiani kabisa na uvunjifu wa haki za mteja,huu ni uhuni ktk kichaka cha mikopo.na ni kukosa dabu ktk fani za watu wa mikopo.Hivi katika mazingira hayo unadhani njia ipi ilikuwa ni sahihi kama kampuni kuifanya ili kuhakikisha watu wanarejesha pesa bila kampuni kufilisika?
Hilo ni swala wanatakiwa wahakiki kabla hawajakupa mkopo muombaji.Kwasababu kwenye hiyo option ya kuweka namba 3 kumbuka upo uwezekano wa tapeli kutumia namba za watu ambao hawapatikani hewani au ni namba ambazo kazisajili yeye ili tu afanikishe jambo lake naada ya hapo line zinatiwa kapuni.
Bank ukienda kuomba mkopo wa nyumba,utapewa mkopo 25% ya thamani ya nyumba,lakini kwanza sharti lazima watu wa tathmini wafike kuiona nyumba husika.
Huwezi toa hela nyumba hujaiona,itakuwa balaa.
Kwanza siwezi kifanya biashara ambayo inategemea huruma na utashi wa mteja mimi kulipwa.hii ni biashara kichaa sijwahi kuona.Haya sasa jiweke wewe kwenye hiyo nafasi ya huyo anayekudai, umepewa namba 3 halafu zote ukipiga zimefungiwa na kuna namba nyingine unaziona utaacha kuzitumia?
Sijui ni nani alikuja na idea hii nahisi ni watu na pesa zao za kuzitakatisha.