Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Hii si bado kidogo iwe 100% ya mkopo, huu ni wizi
Ndio hivyo kaka.
Mie nimekopa wiki mbili zilizopita Hakika loan.
Mkopo unasoma 90k ila risiti imetoka ya 48k.
Jiulize sasa,mwanzo nilianza nikakopa mkopo unasoma 50k ila risiti imetoka 30k.
Yani ule 30k ulipe 50k.
 
Ndio hivyo kaka.
Mie nimekopa wiki mbili zilizopita Hakika loan.
Mkopo unasoma 90k ila risiti imetoka ya 48k.
Jiulize sasa,mwanzo nilianza nikakopa mkopo unasoma 50k ila risiti imetoka 30k.
Yani ule 30k ulipe 50k.
Hii hatari sana asilimia ni nyingi hizi
 
Labda ulaya bongo Badoo sana.mikopo inatoka Kama kawaida
 
We jamaa mbona muongo sana? Branch waliniletea za kuleta nikawaacha kuwalipa 150k mwaka 2019! Toka hapo nimekopa CRDB more than 3 time mkopo na top up 2 si chini ya million 40! Wewe hizi stori zako umezitoa wapi nyasubi?
mwambie kua.mikopo ya mtandaoni ni ya kuaminiana tu.na haina dhamana kwa mteja. BOT hawawezi kuhangaika na upuuzi huo. wenye hiyo mikopo ni wachina wajanja fulani tu hapa mjini.
 
Na
Mkuu hawa jamaa hawafai hata Mimi yalinikuta ila Sasa nimewavutia kasi wakaongoza kiwango Sasa kibindoni nina laki 6 yao.Wakome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…