Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

usinitishe ww bana au na ww ndo hao hao wanaosambaza taarifa za wateja wao bila ruhusa zao?? binafsi sitarajii kukopa kwaiyo bado nimewapiga tuu..😁
Kabla hawaja anzisha hiyo biashara walisha kaa chini na kupiga hesabu kuwa kuna watu kama wewe. Hivyo wanajua wapi kwa kuwashikia. Endelea kukenua meno ukidhani ww ni mjanja
 
Kabla hawaja anzisha hiyo biashara walisha kaa chini na kupiga hesabu kuwa kuna watu kama wewe. Hivyo wanajua wapi kwa kuwashikia. Endelea kukenua meno ukidhani ww ni mjanja
sasa watanishikaje we vipi eti? kuna app wamenip 20000 wngine 50000 wengine buku saba kuna wa elfu 80000 sio app moja ani mtu anitafute kisa buku 7 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa kama hutarajii kukopa bank za tanzania maisha Yako yote sawa ila kama utahitaji kukopa Kaa ukijua hao jamaa washapeleka record zako sababu uliweka nida watanzania wengi hawajui hii kitu na hayo madeni yanapanda Kwa riba Kila mda mliokubalia
Bank zinahitaji security tu ,wewe ukipelekeka hati ya nyumba wanachoangalia ni original?Kama ndio utapewa loan hata kama unadaiwa na dunia
 
Siyo kughafilika bali ni kughadhibika, yaani kuchukizwa. Kughafilika ni kusahau kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…