Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mfanyakazi wa wasafi aseme anamkubali zaidi ali kibakuli na n'jomba nchumali, kuliko nyandomo...
Hathubutu.. [emoji1787][emoji23]
No permanent friend... when it comes to economic interests

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nyakati zimebadilika mkuu....now wazazi wanasisitiza tu elimu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
kumekucha
 
Hata wakifungwa si wanapewa hela tu.
 
Duh! Kazi kwao Pamba
 
Naamini vipaji vipo ila Mwanza ni kama hawataki kuipa kipaumbele kwa sasa wakati nguvu kubwa ingewekwa pale ingefaidisha mikoa zaidi ya 5.

Badala ya kujenga uwanja wa kisasa pale penye vipaji na historia ya kuzalisha vipaji kama unavyosema, wanaupeleka kwa wadudu wa Arusha.
 
Ndio yale yale tunayosema wajinga wa utopolo wanapinga. Jaribu kufikiria Yanga anacheza na Pamba mechi ya mwisho inayoamua Bingwa wa Ligi. Hizo hela anazojifanya kuwahaidi Pamba washinde si ndizo watakazopewa ili wafungwe! Hiyo fair game itatokea wapi hapo!? Ni mwendo wa kununua tu.

Haiingii akilini timu icheze dhidi ya Simba ihaidiwe mamilioni ili waifunge Simba, wakati ikicheza na timu nyingine haihaidiwi pesa, cha ajabu ukimfunga Simba na ukizifunga timu nyingine mfano KMC bado unapata pointi 3 zile zile, hapo hamuoni kuna shida sehemu.!? Huo ni upangaji matokeo wa wazi wazi kwani kuifunga Simba ni kumsafishia njia yule mpinzani wake akachukue ubingwa ndio maana wakicheza na timu nyingine tofauti hawahaidiwi fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…