Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu...hizo ni taasisi 2 tofautiUnatoa hela mfuko wa huku unaweka mfuko huu unasema umeokota hela.
Fedhq ni zake lkndrama za utakatishaji wa fedha. Hii kampuni wakati JPM anakaribia kuingia Ikulu ilibadili jina na kujitangaza kuwa imefilisika
Huon kama ndo anafanya ligi kuwa imarageresha tu GSM anaharibu ligi yetu hatumtaki
Kwamba bado mnapinga?Hawa wanaleta siasa tu, Utopolo pekee ndo ataaamini huu ufala. Hawa ngogwe ni mbumbumbu sana, chukueni utopolo wenzenu mkakae mdanganyane.
Hakunaga vichekesho mkuuKupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?[emoji38][emoji38][emoji38]
Karia has nothing to do....when it comes to football developmentKaria nakuita tena Karia....What is this?...Aisee
Makolo wamezidi kulalamikaNi kama Real Madrid, recently inavyolalamika kuhusu rushwa La liga[emoji1787]
Hapana wanasaidia timu ndogoSasa GSM mbona wanazidi kujiharibia? Bora wangekaa kimya tu
No permanent friend... when it comes to economic interests[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mfanyakazi wa wasafi aseme anamkubali zaidi ali kibakuli na n'jomba nchumali, kuliko nyandomo...
Hathubutu.. [emoji1787][emoji23]
Nyakati zimebadilika mkuu....now wazazi wanasisitiza tu elimuSijui kwanini mwanza siku Izi vipaji HALISI vimepotea.
Enzi za JIMBO CUP ya DIALLO kuna vipaji vilizalishwa balaa Sanaa..
*wapi NATIONAL FC hii timu ilikiwasha Sana kina EMANUEL KINGU, LUBIGISA MADATA, BONIFACE PAWASA n.k wapo wengi Sanaa.
*Wapi IGO BOYS vijana wa igoma Hawa ni noma WALIKIWASHA sawa sawa
*CHENGA MBILI KIATU FC Hawa jamaa walikinukisha hatare Sanaa wametoa wachezaji wakubwa wengi.
*CHANNEL FC walikipiga haswa haswa
*BARCELONA Hawa jamaa maskani yao ni hapo kota za polisi mabatini ilikua ni chama la maana.
*WAJUGUNA FC hili chama uhuni MWINGI wazee wa vurugu fujo na mpira wa kukamiana wababe Sana sijui waliishia wapi.
NB.
Ukifanya scouting nzurii pale mwanza Kuna talent Sana na Haitakua tena sehemu ya yanga na Simba kuchukua point Bure Bure pale CCM KIRUMBA kule kina Aziz k wapo kibao
For years inasemwa pamba ilikua ni tawi la yanga "mdogo ake yanga ni pamba" mdogo ake Simba ni TOTO AFRICANS
All in all, ngoja tuone Kama MENDE ataangusha KABATI.
kumekucha[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.
Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]
Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hata wakifungwa si wanapewa hela tu.[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.
Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]
Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Duh! Kazi kwao Pamba[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.
Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]
Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
mhanuzi wangu naona mzee wa UMD upo apa unashuhudia comedy ya soka la bongo.Du! Unamaanisha kwamba Mungu anaamini hata shetani ataushtukia huo mtego, maana akiwashinda kweli kitakachomkuta ni 👎💯💯 kichapo.
Naamini vipaji vipo ila Mwanza ni kama hawataki kuipa kipaumbele kwa sasa wakati nguvu kubwa ingewekwa pale ingefaidisha mikoa zaidi ya 5.Sijui kwanini mwanza siku Izi vipaji HALISI vimepotea.
Enzi za JIMBO CUP ya DIALLO kuna vipaji vilizalishwa balaa Sanaa..
*wapi NATIONAL FC hii timu ilikiwasha Sana kina EMANUEL KINGU, LUBIGISA MADATA, BONIFACE PAWASA n.k wapo wengi Sanaa.
*Wapi IGO BOYS vijana wa igoma Hawa ni noma WALIKIWASHA sawa sawa
*CHENGA MBILI KIATU FC Hawa jamaa walikinukisha hatare Sanaa wametoa wachezaji wakubwa wengi.
*CHANNEL FC walikipiga haswa haswa
*BARCELONA Hawa jamaa maskani yao ni hapo kota za polisi mabatini ilikua ni chama la maana.
*WAJUGUNA FC hili chama uhuni MWINGI wazee wa vurugu fujo na mpira wa kukamiana wababe Sana sijui waliishia wapi.
NB.
Ukifanya scouting nzurii pale mwanza Kuna talent Sana na Haitakua tena sehemu ya yanga na Simba kuchukua point Bure Bure pale CCM KIRUMBA kule kina Aziz k wapo kibao
For years inasemwa pamba ilikua ni tawi la yanga "mdogo ake yanga ni pamba" mdogo ake Simba ni TOTO AFRICANS
All in all, ngoja tuone Kama MENDE ataangusha KABATI.
Ndio yale yale tunayosema wajinga wa utopolo wanapinga. Jaribu kufikiria Yanga anacheza na Pamba mechi ya mwisho inayoamua Bingwa wa Ligi. Hizo hela anazojifanya kuwahaidi Pamba washinde si ndizo watakazopewa ili wafungwe! Hiyo fair game itatokea wapi hapo!? Ni mwendo wa kununua tu.[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.