Wilson Leguna
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 104
- 91
...hakuna mwenye akili timamu ataitilia maanani taarifa hii ya kijinga[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.
Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]
Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huu n mtambo mzee. Bei yake naweza kukunulia v 8 ww na ukoo wako wote....no matter how many are theyKubwa zima linatumia TEKNO.
Hapana watakuwa nje ya ahadHata wakifungwa si wanapewa hela tu.
Au GSM water
Hujaelewa mkuu...hapa ni kuwa pamba watapewa pesa wakiifunga yangaNdio yale yale tunayosema wajinga wa utopolo wanapinga. Jaribu kufikiria Yanga anacheza na Pamba mechi ya mwisho inayoamua Bingwa wa Ligi. Hizo hela anazojifanya kuwahaidi Pamba washinde si ndizo watakazopewa ili wafungwe! Hiyo fair game itatokea wapi hapo!? Ni mwendo wa kununua tu.
Haiingii akilini timu icheze dhidi ya Simba ihaidiwe mamilioni ili waifunge Simba, wakati ikicheza na timu nyingine haihaidiwi pesa, cha ajabu ukimfunga Simba na ukizifunga timu nyingine mfano KMC bado unapata pointi 3 zile zile, hapo hamuoni kuna shida sehemu.!? Huo ni upangaji matokeo wa wazi wazi kwani kuifunga Simba ni kumsafishia njia yule mpinzani wake akachukue ubingwa ndio maana wakicheza na timu nyingine tofauti hawahaidiwi fedha.
Yani ni kama Mungu amwahidi Shetani Nusu ya Ufalme wake endapo atafanikiwa Kulishinda Jeshi la Malaika wake..
Noma
Huoni kama pamba watafia uwanjani...hakuna mwenye akili timamu ataitilia maanani taarifa hii ya kijinga
Au G boost?
geresha tu GSM anaharibu ligi yetu hatumtaki
ππππendapo
MLiobet YANGA WIN[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.
Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]
Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yawezekana pia mkuuTatizo yanga ukicheza naye unaanza na Kono la nyani ,je inawezekana Pamba waifunge yanga goli 6?