Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.

Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]

Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
...hakuna mwenye akili timamu ataitilia maanani taarifa hii ya kijinga
 
Ndio yale yale tunayosema wajinga wa utopolo wanapinga. Jaribu kufikiria Yanga anacheza na Pamba mechi ya mwisho inayoamua Bingwa wa Ligi. Hizo hela anazojifanya kuwahaidi Pamba washinde si ndizo watakazopewa ili wafungwe! Hiyo fair game itatokea wapi hapo!? Ni mwendo wa kununua tu.

Haiingii akilini timu icheze dhidi ya Simba ihaidiwe mamilioni ili waifunge Simba, wakati ikicheza na timu nyingine haihaidiwi pesa, cha ajabu ukimfunga Simba na ukizifunga timu nyingine mfano KMC bado unapata pointi 3 zile zile, hapo hamuoni kuna shida sehemu.!? Huo ni upangaji matokeo wa wazi wazi kwani kuifunga Simba ni kumsafishia njia yule mpinzani wake akachukue ubingwa ndio maana wakicheza na timu nyingine tofauti hawahaidiwi fedha.
Hujaelewa mkuu...hapa ni kuwa pamba watapewa pesa wakiifunga yanga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tatizo yanga ukicheza naye unaanza na Kono la nyani ,je inawezekana Pamba waifunge yanga goli 6?
 
Hadharani ukinipiga kwa knockout nakupa milioni 100 nyuma ya pazia ukikubali nikupige tu hata kwa pointi nakupa milioni 200
 
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.

Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]

Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
MLiobet YANGA WIN

MJIPANGE MAJARIBU HAYO

MWENZENU HAPO ANAINGIZA BILLIONS YANGA DRW NYIE MNAISHIA KUNYOA MA..Z
 
Unachukua pesa yako unaiweka bank, unakuja ujumbe wa Sms unashangilia.
 
Back
Top Bottom