Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha


Bosi huwezi kusota na mwanamke! Ilikuwa zamani hiyo.
Pili, jifunze kuficha mali kama utaoa, ukishindwa usioe.

Nje ya mada: Mwanamke ndie kiumbe mjanja na mwenye kujua kuwinda pamoja na kujificha "Camouflage". Unaweza kuishi na mwanamke maisha yako yote na usijue hila yake.
 
 
Kuna mambo yanatugusa moja kwa moja mjukuu. Watu wana watoto kadhaa, wote wanaenda shule na bado wapo wanapanga..sio mchezo!!
Siwezi kusema walikosea kuzaa mapema au la nachujua babu dunia haina usawa cha muhimu kila mtu aishi kwa njia zake tu
Wakuoa aoe
Wakuzaa azae
Wa kula bata aleeeeeee sana
Wa kusali safiiii
Asie na dini poa tu

NB: Everyone should stay in their own lane πŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…