The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Ushamba mkubwa sana,wenzetu huko wanafanya hivyo ili barafu iweze kushuka kirahisi wakati wa baridi kali ,sasa hii ngozi ikaona kwamba ni fashionNaunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri🤔View attachment 3572653
Sasa Ujenge sisi wengine tule wapi ela zako Kipenzi 😛 😛 😛 😛 😛Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
===========
Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana aanze kujenga kwanza alafu ndio aanze kusomesha
Ni kuiga tu, Kwanza kwa maeneo ya kitropiki kama huku hizi nyumba hazihitajiki...Wazungu wanatushangaa sana...Naunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri🤔View attachment 3572653
InategemeaWazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
===========
Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana aanze kujenga kwanza alafu ndio aanze kusomesha
Sasa akikwama atauza kisha aende wapi?Mkuu biashara sio ya kila mtu! Si bora anaejenga akikwama atauza
Imagine mkopo wote umetia kwenye biashara halfu imepepea 😃
ra
Hata ukijenga kabla hujasomesha utajenga tena na tena ukiwa unasomesha. Kwanza hayo majengo yanachakaa na pia kuna fasheni za kujenga zinaibuka. Cha msingi ongeza uwezo wa kutafuta hela wakati unasomesha.Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
===========
Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana aanze kujenga kwanza alafu ndio aanze kusomesha
TOTALLY FUCKED
KwaoSasa akikwama atauza kisha aende wapi?
Kwa mfano akifukuzwa kazi hapo atauza nyumba aende wapi na yeye hawezi kufanya biashara?
Maumivu anapata kwenye paja karibu na scrotums na kwenye tumbo chini ya kitovu hivyo sjui ni aina ipi mkuuHernia ya aina gani?
scrotal hernia , umbilical herniaMaumivu anapata kwenye paja karibu na scrotums na kwenye tumbo chini ya kitovu hivyo sjui ni aina ipi mkuu
Njombe wanashindana kwenda juuNaunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri🤔View attachment 3572653
Tumeiga kijinga sanaNjombe wanashindana kwenda juu
Boy! You're fucked.Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
===========
Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana aanze kujenga kwanza alafu ndio aanze kusomesha
Basi akae kwao sasa hivi, huku akifanya kazi na biashara.Kwao