Acha tu mangi, watu wanachukua nyumba nzima, vyumba vitatu, kodi mpaka 1m per month, watoto shule za mabasi, kila mmoja 3-5m p/y. Kama hukujenga kabla mtihani mzito huo
Tatizo wabongo wengi hawana "exposure", hio ni nyumba mkuu, kwa tuliosafiri nyumba za bongo watu wanazijenga kwa bei kubwa sana kuliko vipato na matumizi yake na wanatumia eneo kubwa sana. Nyumba ni nyumba mkuu hongera.