Uchaguzi 2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Hata Trump walisema hawezi kushindana lakini uchaguzi ulipofika aliwashangaza wengi!
yaani huyo jamaa sio presidential outfit kabisa, atafutwe mtu aliyekuzwa upinzani hata kama ni kuunga mkono chama kingine lakini sio nyalandu aliyetokea ccm. yatarudiwa yale ya 2015 ndo mtachoka zaidi
 
Mwamba si apande mwenyewe?mbona mkuu akitoaga hotuba na yeye anatoa ya kwake...aende kwenye mbio sasa na yeye
Huenda naye akawepo, chama kitaamua.uzuri Wa chadema Ni demokrasia sio ccm.
 
Ina maana anamgeuka rafiki yake wa karibu yule yule wa kwao anaeishi nje kimatibabu (kama inavumyosemekana(
Acha ushamba,,kutia Nia Ni kugeuka?,tatizo la wabongo nafasi za uongozi wanazigeuza za kuganga njaa,,
Chadema hatugangi njaa,kila mtu Yuko huru kutia Nia na demojrasi itaamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…