Pamoja na Dodoma kuwa Katikati ya nchi lakini bado haikupaswa kuwa Makao Makuu

Kwamba nikomae tu kwenye jua hata kama kuna kivuli pembeni kisa tu mimi dume. Nyie ndio wale kipindi cha ujana mlikuwa mnajisifia eti "mi mgumu bwana". Mnajinyima starehe kwa kujikomoa wenyewe
Dodoma si wanaishi wanadamu? Ishi kama wao
 
Nikiingia Dodoma ndani ya masaa mawili , mdomo unakuwa umekwishachanika chanika.
 
Kwa location ya mji mkuu singida ingekuwa the best. Mji umepambwa na maji. Temperature haizidi 27Β°c annually. Connectivity na miji mingine Iko vizuri. Ukisogea ilongero unakutana na ziwa kisisi,ukitaka kwenda hospital ya hydom, au st Gaspar ni chap tu, nenda puma ardhi yenye kutoa nyanya, miwa na matunda mbalimbali. Ee bwana singida inazalisha mpunga, alizeti,asali na vitunguu. Singida Kuna kuku wakienyeji. Madini yapo yakutosha bwana,mgodi mkubwa wa shata gold mine, mpambaa, msigiri nk. Hata hiyo Dodoma inategemea Kila kitu toka singida.piq singida ni katikati ya Nchi, hata hiyo alama ya katikati ya Nchi Iko sgd ( sukamahela). Kiujumla singida ndiyo ingefaa zaidi kuwa makao makuu.kama maji kutoka ziwa Victoria yangefika igunga, tayari Kuna bonde la wembere linalotoa mpunga. Kilimo Cha umwagiliaji kingefana. Mji ungepunguza gharama za maisha. Ndiyo maana singida wanaishi wazungu wa singida big stars. Yaani wakichoka wanaenda Arusha. Siyo majoto joto Kila mahali.
 
Wewe mjinga israel imebadilisha jangwa kuwa nchi inayozalisha Hadi akiba ya chakula leo unazingumzia dodoma ambayo inapata mvua karibu miezi mitatu mfululizo kwa mwaka

Mkiambiwa waafrika akili zenu zipo matakoni wewe ndio mfano namba moja
Dubai by nature ni jangwa tupu lakini leo hii ndipo centre kuu ya biashara na papo njeeema hatari kimaendeleo tena ni top 50 ya majiji bora duniani.

Kweli Waafrika tuna tatizo kiakili si bure [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wagogo wenyewe wanaikmbia, wanakimbilia dar kupata unyunyu nyie mtayaweza hayo mavumbi ya kitiana upofu?
 
Hakika unachosema ni sahihi kabisa. Jua la dodoma linachoma kama pasi. Kuhusu maji nadhan ni vile dodoma haina access ya mito mikubwa. Maji ya mito ndio mazuri yakisafishwa.

Hayo ya chumvi hata uyachemshe yanazidi kuwa kama dawa. Ni kasheshe kwa kweli. Unakuta mwili unapambana mno kufight hizo hali. Haupumziki jumlisha na harakati za maisha.
 
Yan. Sijui bora ingekuwa singida. Ama kama unaenda iringa. Ni shida.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
HASHIMU LUNGWE alisema atahamishia bahari Dodoma mkamuona hafai.
 
HASHIMU LUNGWE alisema atahamishia bahari Dodoma mkamuona hafai.
πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Ninachoamini ingekuwa nchi za Ulaya au hata Misri ingewezekana kupeleka maji Dodoma kutoka lake Victoria au hata maji ya Mto.

Ukitaka kujua maji ya Dodoma sio kabisa hebu yachemshe kwenye sufuria halafu yaache yatulie kisha yamwage kidogodogo uone unga utakaobaki chini, kwanza na sufuria yenyewe lazima uioshe tena. Hata maji ya bahari hayapo hivyo jamani. Na ninarudia kusema tuombe Mungu iwe ni chumvi kweli kama tunavyoamini miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…