Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jua la Dar linatakatisha, la Dodoma linapausha.Kwahiyo jua la Dar ni Afadhali kuliko Dodoma???
Labda useme kipupwe kinachotimua vumbi.Jua la Dar linatakatisha, la Dodoma linapausha.
Watu wenyewe hawapandi miti,watu wananunua viwanja vya square meter 200-400 atapanda mti gani hapoKuhusu jua kali hata ukipanda miti haisaidii ni uongo maybe huipend Dom individual! But hakuna kinashindikana dunia hii hasa suala la upandaji miti na kubadili mazingira na hali ya hewa, jua kweli la Dom ni kali lkn kwa juhud zilizopo za kupanda zaid miti itasaidia san miaka ijayo!! Kuhusu maji yana chumvi kuliko ya bahari huo ni uongoo, maji yapo yenye chumvi lkn sio on that way u claim!! Dar imekua na changamoto nying san za maji saf na salama, jua kali joto kali vitu ambavyo sio comfortable kwa mwanadam lkn ilikua makao makuu kwa miaka na raia walizoea!!
Mti ukipandwa hata mmoja Kweny kila kaya inatosha!! Au ulitaka kila kaya iwe na sq metres ngap ili wapande pori la miti?Watu wenyewe hawapandi miti,watu wananunua viwanja vya square meter 200-400 atapanda mti gani hapo
Ungeliongelea hisia za namna unavyotaka kuendesha maisha yako binafsi, lakini si kwa kukosoa maamuzi sahihi ya Serikali kuhamishia makao makuu pale.Nisiwe na Maneno mengi lakini kiukweli hali ya hewa ya Dodoma inaumiza sana na mtu huwezi kuwa comfortable hata kidogo.
Yaani huu mji hata ulazimishe kupanda miti kiasi gani bado ni shida. Hata mwanga wa jua huku ni shida kwa jinsi unavyoumiza macho, yaani kila unayekutana naye kakunja uso na kufinya macho sababu ya jua. Huwezi kuta mtu kanawiri hata kama ana maisha mazuri.
Kuna masela wangu tulikuwa nao Dar wakahamia Dom nimewaona sura zimefubaa sababu ya hali ya hewa. Kipindi cha kiangazi ndio shida zaidi utafikiri watu wapo Sudan jamani. Kitu kingine kinachokera ni Maji mabaya sana, sio machafu lakini ni mabaya na yamejaa chumvi kuliko hata humvi la maji ya bahari.
Kuna jamaa akanishawishi eti nijenge nyumba ya makazi nikamuambia labda nijenge gest lakini si mimi kuja kjishi
Kwan mipango hio si ipo. Jiji hawakup kibal cha ujenz had upande mti.na mabati yasiwe tofaut.au ilikufa hio mipango na kunambi alivoondoka? Dom napenda sana ule mtaa wa vitumbua na mabajia. Kwa stend ya daladala ni vurugu tupu haijulikan yan hapaelewek. Ukiwa mjin pale mazingira saf tu.vumbi lipo tu kila eneo.ila nadhan singida ingekua ndio mji mkuu.singida haina ukame kama wa dodoma.unaweza ukaona utan ila ukabu wa singapoo sio sawa na domKama kweli serikali itaweka dhamiri ya dhati kuhusu kuibadilisha Dodoma,inawezekana ikawa ni mji mzuri sana,na wenye miti kila kona,tatizo naona ni wana siasa wa maigizo ndio wanaokwamisha.Mvua Dodoma inanyesha kwa mwaka karibu miezi 4,sasa kama kutakuwa na kampeni kama zile za kutokomeza mifuko ya plastic ikawezekana, hata ya kupandwa miti kwa lazima inawezekana,kuna mahali ni lazima ubabe utumike,msimu wa mvua unapoanza tu miti inapandwa,ikifika miezi 4 imeshashika na inaendelea kukua,kuna aina ya miti ikishashika hata kama mvua itakaa miezi 6 haidondoshi majani na inakuwa kijani kibichi,hii miti inaitwa Midodoma,inastahimili ukame na ina kivuli kikubwa...
Paka mafutakalinganisha na dar hali ya hewe ya dar masikini na tajiri wote wote wanang,aa lakini domu hata utupwe kwenye tengi la siagi ukitolewe umepauka tiiiiii
Daaah!!! Nikiri tu kuwa JF kuna watu wachache sana waungwana na intelligent mmoja wapo ukiwa ni wewe. Umejibu kiungwana bila maneno ya maudhi, umeandika Kisomi na hoja zenye mashiko. Sikusifii bure lakini ndivyo unavyosomeka hivi.Ungeliongelea hisia za namna unavyotaka kuendesha maisha yako binafsi, lakini si kwa kukosoa maamuzi sahihi ya Serikali kuhamishia makao makuu pale.
Dodoma imo katika jiografia ya nchi, hauwezi kuitweza ama kuitenga na Tanzania kwa sababu yoyote ile.
Mengi ya sababu ulizoongelea zaweza kurekebishwa kwa kuboreshwa kwa miundo mbinu ya msingi tu na pakawa safi kabisa pa mfano.
Angalia maeneo mengine Duniani yenye jiografia yenye dhiki kuliko jiografia ya Dodoma, kwa mfano Dubai ya leo ama miji mingine iliyomo katika nchi za majangwani namna walivyoboresha miundo mbinu yao na jinsi wanavyo yafurahia maisha!
Ninadhani ungekuja na hoja namna ya kuligeuza Jiji la Dodoma liwe la kijani ili liweze kufaa zaidi kwa maisha ya binadamu.
Uwezekano wa kuvutwa maji baridi toka vyanzo vya kueleweka upo na ulikuwepo.
Maji kutoka Viktoria kuyafikisha pale Igunga, ajenda kuu ilikuwa ni kuyafikisha Makao hadi makao makuu Dodoma ili kulifanya jiji lisitimke vumbi na liwe la kijani.
Uwezekano huo upo, sema labda mipango ndiyo inachelewa tu.
Mkuu mawazo yako siku zote jaribu kuyaweka kutatua tatizo na si kusifia sehemu iliyokwisha boreshwa.
Dar es salaam unapopasifia, bila kuwekwa miundombinu ya maana, pangelifaa nini hapo, kwanza joto lililopo la kushinda na taulo mtu unajifuta, watu wengine hawawezi kupapenda.
Kwa hiyo jiografia ya kila sehemu yoyote hapakosi changamoto zake na uzuri wake pia.
Mpakani mwa Babati na kondoa ni pazuri sanaDom kwenda magharibi huko Pana Hali ya hewa nzuri sana,hakuna joto la kiwaki,nimeishi Dom miaka miwili,kuhusu kunawiri mtoa mada muongo
Majumba ya kifahari hayaondoi jangwa.Mm nakah ilazo extension Bei ya nyumba IPO juu mno kuliko maelezokwa SAS HV ddm jangwa lile limepoteaa kbsa Ni majumba ya kifahari ndio yanasimama tu
Sina mpango wa kuihama ddma
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu nilipita na kutembea sana Dodoma kusema kweli lilikuwa wazo baya kabisa kuweka makao makuu kwa sababu uliyotaja na nyingine lukukiNisiwe na Maneno mengi lakini kiukweli hali ya hewa ya Dodoma inaumiza sana na mtu huwezi kuwa comfortable hata kidogo.
Yaani huu mji hata ulazimishe kupanda miti kiasi gani bado ni shida. Hata mwanga wa jua huku ni shida kwa jinsi unavyoumiza macho, yaani kila unayekutana naye kakunja uso na kufinya macho sababu ya jua. Huwezi kuta mtu kanawiri hata kama ana maisha mazuri.
Kuna masela wangu tulikuwa nao Dar wakahamia Dom nimewaona sura zimefubaa sababu ya hali ya hewa. Kipindi cha kiangazi ndio shida zaidi utafikiri watu wapo Sudan jamani. Kitu kingine kinachokera ni Maji mabaya sana, sio machafu lakini ni mabaya na yamejaa chumvi kuliko hata humvi la maji ya bahari.
Kuna jamaa akanishawishi eti nijenge nyumba ya makazi nikamuambia labda nijenge gest lakini si mimi kuja kjishi
Yani huko wangenichukiza sanaSijui kwa nini hawakuiona Singida
Sku ya kwanza kufika dodoma nilipaka lotion,,, nkavaa nguo,,, ile namaliza kuvaa tu najiangalia kwny kioo, ngozi kama ya kenge,,, khaaaaaaNi kweli Dom inafubaza na kuchakaza sura of course ngozi yote ya mwili lazima ichakae na kupoteza nuru sababu zipo kadhaa, hali ya hewa lile joto kavu yaani hakuna humidity, joto/jua linachoma hata mtoto anakuwa na sura ya kizee. Kukiwa na kabaridi pia ni kale kakavu kanakosababisha mtu awe na ngozi kama ya kenge hata akitumia lotion ya viwango best duniani inadunda lakini ndiyo kumeshakuwa makao makuu.
Vimbi lake utadhani ni sumu ya kuchakaza ngozi lakini ndiyo pameshakuwa makao makuu ya nchi, dah..! Hivi Mchonga alikuwa hastui kijiti?
Sasa kama hari ya hewa ya Dodoma inaumiza,vipi hari ya hewa ya Qatar,Dubai,kwenye jangwa?kwahiyo kwa mtazamo wako,eneo lisipo kuwa na hari ya hewa nzuri kama ulaya,halitakiwi kuendelezwa auxkupandishwa hadhi?!basi waarabu wasingejenga kwao kwa vile Kuna hari mbaya!!!Nisiwe na Maneno mengi lakini kiukweli hali ya hewa ya Dodoma inaumiza sana na mtu huwezi kuwa comfortable hata kidogo.