Pamoja na hasara kubwa waliyoipata Hamas lakini Israel imeukosa ushindi

wapalestina walisherekea vifo vya wenzao na imekuja kuwarudia wao , sion sabab ya kumuonea huruma mtu aliyeshangilia vifo vya wenzao
 
Kwanini nyie watu mnapenda sana kuona wenzenu wakiuwawa

Yaan wewe badala ushukuru kwa mola kwamba vita imeisha wewe unaanza kutafuta mshindi tena

Ivi unajua mateso wanayopitia watu wa Palestine kweli wewe
Tunaweka historia sawa kwa kufuata malengo ya vita vyenyewe.
 
Mkuu hivi ni kwanini mnajenga hoja as if ni Netanyau ndio alianzisha hii vita ?

Ofkoz Israel imewagharimu pakubwa kuanzia uhai na gharama za kuendesha vita...... hakunaga vita isiyo na GHARAMA

Hapa nadhani wakujadiliwa zaidi ni HAMAS
Wamefaidika na nini kwa mpango wao wa Oct 7?

Kwa Israel kuishambulia GAZA sio swala la MALENGO...... hizo ni nyongeza
KISASI ndio motives kubwa ya Israel kuishambulia GAZA

Israel wamelipa KISASI zaidi ya mara 1000 ya walichofanya HAMAS
Imeua zaidi ikiwemo viongozi wote wajuu
Imeteka zaidi
Imeharibu zaidi

Kikubwa kabisa ambacho ndio itakua msingi muhimu kwa faida kwa Israel na hasara kubwa kwa Hamas..... ni nini kitafuata pale GAZA

JE GAZA WILL BE THE SAME AGAIN au ndio Israel ataikandamiza zaidi kuhakikisha ujinga wa Oct 7 haurudii tena?

Let’s wait and see
 
lets discuss with common sense then,unafahamu kuwa eneo alilovamiwa israel october 7 kwa recognition ya international boundaries na UN ni eneo la palestine, hvyo hoja ya kwanza raia wa israel hawakutakiwa kuwepo walipokuwepo illegally,pili unafahamu kuwa kabla ya october 7 zaidi ya wapelestine 10,000 walikuwa wanashikiliwa katika mahabusu na magereza ya israel ? Tena bila ya trial yoyote ?,hvyo lengo la hamas ilikuwa ni kuwakamata mateka wengi kadiri inavyowezekana wa kiisrael ili aweze kuwatumia kama bargaining chip katika mabidilishano ya wafungwa wa kiisrael na wapalestine,kuepuka hili serikali ya israel huwa yu tayari wananchi wake wafe kuliko kukamatwa hai kama mateka,kama huamini nenda kasome zaidi kuhusu "hannibal directives"
 
Ushindi unauchukuliaje mkuu?

Umekiri hasara na maisha ya watu yalivyoangamizwa Gaza, sasa kuna ushindi zaidi ya huo wa upande mmoja kuukandamiza upande mwingine?

Je Israeli ingeliwaokoa mateka kibabe, ndiyo vita hivyo vingelimalizika?

Hapo tungelipongeza hatua ya Israeli kukubali ushauri wa kusitisha vita, vinginevyo maisha ya raia wasio na hatia yangeliendelea kupotezwa kila siku, kwa sababu Hamas waliwatumia kama kinga (human shield).
 
Hawa mgambo ni kama hawa wetu au kuna tofauti?
Tofauti.

Na hata anayewaita kuwa wanamgambo, ukiuliza vigezo alivyotumia, anaweza kusema kuwa askari hao si wa nchi ambayo ni 'soverin state' yaani ni kama wapigania uhuru, ama huenda akakosa jibu.

Hao ni wanajeshi kimuundo, kimfumo, ki silaha na kiteknolojia.

Kwa hiyo ni tofauti kabisa na hawa migambo wa kwetu ambao hawawezi kupigana vita hadi washikizwe kwenye jeshi.
 
Waisilamu na wakiristu bana utadhani wamebet kwenye hii vita ujinga mtupu
kwa mtu ambae anafikiri sawasawa hii vita haina udini,ila ukitumia ubinaadamu zaidi unapata jibu kweupe,kama ni ishu ya udini nchi nyingi za kiislamu zipo against palestine at all ,angalia misri,jordan,saudi arabia n.k(japo huwa msimamo wake hubadilika badilika) alafu nenda kaangalie nchi ambazo sio kiislamu ndio zimekuwa mstari wa mbele kutetea palestine kupitia two state solution + kuzuia mauaji ya halaiki,nenda na pitia support ya nchi za bangladesh bolivia,brazil,spain n.k ndipo utagundua hii vita sio ya dini ni ubinaadamu tu,na FYI waislam na wayahudi hakuna shida kubwa sana na wanaweza kukaa pamoja shida ni uzayuni na wazayuni wanaojificha katika kivuli cha uyahudi,watu watakapoweza kutofautisha uyahudi na uzayuni watagundua kuwa hata october 7 haikupaswa kutokea.
 
Nalijua Hilo and more kuhusu hiyo vita shida huku kwenu imekua ni vita ya kushindanisha hizi Imani mbili
 
So LENGO la HAMAS ilikua ni KUUA na KUTEKA kadiri walivyo weza ili KUISHINIKIZA Israel wafanye BARGAIN ya kuwaachia zaidi ya Wapalestine 10,000 walioshikiliwa?

Unajua matokeo yake?

Viongozi WOTE wa juu wa Hamas wameuwawa
Zaidi ya Wapalestina 40,000 wameuwawa
Zaidi ya Wapalestina 20,000 wengine wamakamatwa
Zaidi ya Wapalestina 1,000,000 hawana MAKAZI
Gaza imekaliwa na IDF
Almost Gaza yote imegeuka VIFUSI

Sasa kama haya ni MAFANIKIO basi HONGERA kwao
 
Sera ya kuuwa viongozi wao na kuwaua wananchi walidhani wapiganaji wataisha na wanachi watavunjika moyo walete fujo.Hakuna kilichofaa.
Viongozi wakuu wamewauwa lakini walio baki wameshika bendera ya vita.
hamas sio kikundi tu,hamas ni itikadi ya ukombozi,huwezi kuiua kwa mabomu,makombora au kuua viongozi wake
 
We jamaaa muongo sana umeandikwa ujinga mtupu ukweli Hamas tangia wamechukua mateka waisrael neno lao ni moja tu wanataka mapatano ili Israel iwaachie mateka wapalestina elf 10000 ambao wanashikiliwa uko Israel wakiwemo watoto wanaweke wajawazito njia zote zengine kuwanusulu wapalestina waliotekwa na Israel ilishindikana ndio wapata ujasir wi ukamanda ukomando wa kuvamia kambi za jesh 4 na kuwabuluta kama paka wanajesh wa israel au IDF wakawachukua kibabe adi GAZA ILI tu wabadilishane na mateka wa kipalestina Netanyahu akagoma ajaingia vitani akakombee mateka wake lkn akutaka kubadilishana na mateka wa kipalestina anaowashikilia zaid ya 10000 vita avikuwa vizuli kwa Israel kapata maafa ya kihistoria katema bungo karudi mezani upya baada ya maafa pande zote mbili sasa Netanyahu anawaachiwa mateka wa kipalestina ili nayeye apewe mateka wake kibri kimemwisha kazika askari wake buku kadhaa karusha taulo ulingoni !!
 
Mbona ujataja waisrael au IDF wangapi wamekufa walemavu uchumi wa israel kama ulichosema kweli ni kimoja tu kuwa wapalestina walikuwa na lengo kuchukua mateka wawatumie kukomboa mateka wapalestina zaid ya 10000 lkn Netanyahu akachagua vita vimekula pande zote mbili mwisho Netanyahu karudi kule kule baada ya maafa makubwa ktk historia ya Israel wamenyoloshwa wamezika IDF kibao tena vijana kabisa. Waisrael wapumbavu sana tena wajinga walipoona Hezbollah inapiga Telaviv wakaogopa wakaona wafanyenao mkataka ili wapate Aman kisha wao wakaendelea kuuwa wapalestina kajitia kutokujua kuwa Masters mind ni IRAN angetaka atulie angeenda kupiga got kwa ayatollah tu ingetosha kuja kushtuka sasa Yemen kila siku anajipigia miji ya Israel jamaa wanaficha kupitia sheria yao makovu ya kivita ni siri ya jesh lazima msemaji w jesh azibitishe taharifa usika. Na awawezi zuiya iyo technology inayotumika kutoka Yemen wasiteme bungo!!! Kama sio Yemen awa mbwa wangeendelea kuuwa vitoto vya Palestina.
 
Mkuu Tujikite na MALENGO ya aliyeanzisha mtanange, Israel yeye alikwisha fanya alichofanya hadi hali kufikia kabla ya Oct 7

MALENGO ya kuvamia kuua na kuteka wawezavyo ili KUSHINIKIZA wapalestina 10k waachiwe
Je MALENGO haya yametimia?

Kumbuka kwamba lengo mama la Netanyau ni KULIPA KISASA na njia ya kulipa kisasa LAZIMA ina gharama zake ikiwemo vifo vya wanajeshi na uchumi

Hebu kokotoa hapa jinsi ambavyo Hamas WAMETIMIZA MALENGO YAO

Kama malengo ilikua ni kuifanya Israel itumie gharama kubwa na kuuwa baadhi ya askari wa IDF hapo ntakuelewa

Hakuna mwenye akili timamu yeyote ataelewa hii hasara kama ni ushindi
1, Wapalestina zaidi ya 40k wameuwawa
2, Wapalestina zaidi ya 20k wamekamatwa tena
3, Wapalestina zaidi ya 2M hawana makazi kabisa Gaza imegeuzwa KIFUSI
4, Viongozi wote wa juu wa Hamas wameuwawa
5, Wapalestina wote kwa sasa wanaishi kama wako Jehanamu
6, Maelefu wamepata ulemavu wa kudumu
The list goes on......

Tatizo lako unamchukulia Netanyau kama MUNGU kwamba akisema jambo ni LAZIMA litatekelezeka
Mnajifariji kwa alichosema badala ya kuangalia HASARA au FAIDA waliopata walioanzisha hili balaa
 
1. Israel wamepoteza wanajeshi zaidi ya 20,000+ wakiwemo na majeruhi Hii inafichwafichwa na majeshi
2. Mifumo ya ulinzi imeharibiwa kiasi kwamba anga liko uchi kama sio Marekani makombora yote yangekuwa yanashenyeta tu
3. Biashara zaidi ya 80,000 elfu zimefungwa
4. Bandari yao kubwa haifanyi kazi hakuna meli inayohusiana na Israel inakatiza mbele ya mtu mbadi Houth
5. Kimataifa hakuna anayethamini muisraeli refer kichapo cha uholanzi tuu
6. Hakuna mwanajeshi waisrael aliyehuru kusafiri nje ya Israel maana wanakamatwa sehem mbali mbali kwa uhalifu wa kivita na kufunguliwa mashtaka wengine wanapigwa tu wananchi
7. Oparation nyingi za kujitoa mhanga zimeongezeka tofauti na mwanzo hivyo watalii wamepungua kwa hofu
8. Ongezeko la wanajeshi kujinyonga na magonjwa ya akili
9.Miundo mbinu ya jeshi na kambi zimechakazwa sana hivyo gharama zake sio ndogo. Refer hizbollah na Houth na Iran wao walishusha kwenye Makambi tuu
10. Waisrael 2.5+ waliondoka kwa hofu ya vita huku wengine 300k + wakihama upande wa kaskazini wa Hizbollah
11. Viongozi wa Israel wako mashakani kuuawa na Hizbollah kwa special operations
12. Wanajeshi wengi wa akiba waligoma kuingia vitani hivyo morali ya upiganaji ni ndogo kwa majeshi yao ushindi itakua ngumu kwa siku zijazo kwa tabia hizo
13. Watu 1500+ waliuawa kwa makosa yao wenyewe kuanzia okt7
List goes on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…