Ni Mwanza Tabora, Tabora ni njiapanda ya Kigoma na Mwanza ambapo reli mbili zinakutana na kufanya reli moja ya kwenda Dar es Salaam.Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
Huu mradi utakuwa umetajirisha watu sana.Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
SGR ya Isaka-Mwanza ni hasara kubwa, ni white elephant project, ni ushamba, ubinafsi, upendeleo wa yule mshamba wa kisukuma Magufuli. Ht daraja la Kigongo-Busisi ni ubinafsi wa Magufuli, ingekuwa siyo Samia hiyo SGR ni ya kuipiga chini wajenge barabaraMikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
Una hisa kwenye usafiri wa malori, hizo barabara zenyewe umeona zilivyochoka? Kiuchumi usafiri wa reli ndio nafuu kuliko usafiri mwingineSGR ya Isaka-Mwanza ni hasara kubwa, ni white elephant project, ni ushamba, ubinafsi, upendeleo wa yule mshamba wa kisukuma Magufuli. Ht daraja la Kigongo-Busisi ni ubinafsi wa Magufuli, ingekuwa siyo Samia hiyo SGR ni ya kuipiga chini wajenge barabara
Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
Aisee mengine sijui ila hapa na sisi tulipatikana.mturuk tapeli akajifanya anaoa kabisa.sasa sijui alimfanya nin mdogo wetu. Siku hizi hata simsikii mihuni ile. Inakua inakuja ina jifanya wakiona mnakaza wanajifanya wanatangaza ndoaHuu mradi utakuwa umetajirisha watu sana.
Vibarua wa mradi tu wameiba simenti na nondo sana wengi walijenga nyumba imagine wasimamizi wa fedha wenyewe, madereva wa kuuza wese.
Dada zetu wenyewe wameishia kufumuliwa marinda na waturuki.
Kula Tabora madada wengi walipigwa gang bang na waturuki hatari.Aisee mengine sijui ila hapa na sisi tulipatikana.mturuk tapeli akajifanya anaoa kabisa.sasa sijui alimfanya nin mdogo wetu. Siku hizi hata simsikii mihuni ile. Inakua inakuja ina jifanya wakiona mnakaza wanajifanya wanatangaza ndoa
Barabara gharama ya kuzihudumia ni juu zaidi tofauti na reli jifunze na elimika kwani kuna shida gani sgr kufika Isaka kisha Mwanza kwahiyo mizigo kila siku ya kanda ya ziwa na nchi jirani isafiri kwa barabara ambazo kwa sasa zote zimeharibika na hakuna mafungu ya kuzitengeneza mbona mnalishwa sumu ambayo haina faida kwenu? Hebu tupe hizo hasara za sgr kufika mikoa ya kanda ya ziwa tuanzie hapoSGR ya Isaka-Mwanza ni hasara kubwa, ni white elephant project, ni ushamba, ubinafsi, upendeleo wa yule mshamba wa kisukuma Magufuli. Ht daraja la Kigongo-Busisi ni ubinafsi wa Magufuli, ingekuwa siyo Samia hiyo SGR ni ya kuipiga chini wajenge barabara
Kwani 51trn nayo ni pesa?Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?