Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jitambue,Mbowe akicheleweshewa mgao wake kutoka Juu anakua mkali sana!!
Ukisikia unaa ule alikuwa akiusema Lyatonga ndiyo huu sasaMachame Tours coach
Wanashida gani wakati awatoi mifukoni mwaoAlianza mwenda zake naona naye kaiga, msafara, mapadiri, mashekhe vyombo vyote vya ulinzi ,mpaka waimba mapambio Kila mtu na gari lake hapo lazima idadi ifikie 90 (V8)
Bahati nzuri hujapata hayo madaraka, Unafikiri mambo yako kirahisi rahisi hivyo? Fikiri kabla ya kudhihirisha jinsi ulivyo mweupe kuchwani.Lile faili lipo, ni kuonesha tu nia ya kuendelea na case, sijui DPP anasubiri nini??? Ningekuwa mi ndiye DPP huyu Mbowr ningehakikisha namfunga maisha au hukumu ya kifo, hafai kabisa kwa demokrasia ni dikiteta na muuaji
Funga tu huyo gaidiBahati nzuri hujapata hayo madaraka, Unafikiri mambo yako kirahisi rahisi hivyo? Fikiri kabla ya kudhihirisha jinsi ulivyo mweupe kuchwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu Mtumishi wa Umma,anakuja kutukoga na kagari kapya kuliotokana na Kodi zetu!!!Kodi za nchi hii haziendi kuwasaidia wananchi..badi zinaenda kuliwa na wahuni wa lioko serikalini na kwenye chama..ndio mana wananchi hawana mwamko wa kulipa kodi.
#MaendeleoHayanaChama
Na hii ndiyo maana ya kua Urais ni taasisi, team nzima lazima itimie, anae lipya na asiyelipwa wote ni muhimu sana kwa msafara wa Rais!!Alianza mwenda zake naona naye kaiga, msafara, mapadiri, mashekhe vyombo vyote vya ulinzi ,mpaka waimba mapambio Kila mtu na gari lake hapo lazima idadi ifikie 90 (V8)
Mwigulu kukaa kimya bila kujibu hiyo meseji ya Mbowe hata sishangai, ina maana Mbowe hajui kama mwenzie anapenda kukusanya pesa ambazo mwisho wa siku haulizwi mapato ni kiasi gani, na matumizi yake ni yapi?
Mwigulu ana enjoy sana kuwa waziri wa fedha, naamini hata mifuko yake kwasasa inaendana na maana halisi ya yeye kuwa waziri wa fedha, kwa hii nchi yetu masikini mpaka wa fikra, kuwa waziri wa fedha halafu ufe kwa njaa ni ujinga wako mwenyewe.
Ila kuhusu hao makatibu wa Chadema bara na visiwani kutumia hilo gari moja kwa safari, nahisi sababu ni hali ngumu tu, siku Chadema wakibahatika kwenda ikulu nao ndio tutajua tabia yao halisi, now ni benefit of doubt.
Nani!? Mimi au Wwe!!??Mkuu jitambue,
Ni wapi alikolambia hiyo asali , weka ushahidi kabla hatujakufungukia zaidi .Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya Serikali ya kubana matumizi.
Amesema, gharama za maisha zinatesa wananchi huku Serikali ikionekana kutodhihirisha kwa vitendo mkakati wake wa kubana matumizi
Mbowe aliyasema hayo juzi mkoani Shinyanga alipokuwa akihutubia wanachama wa chama hicho katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani iliyoandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha).
Alisema hivi karibuni alimwandikia ujumbe Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Chemba kumweleza kodi na tozo wanazotoza kwa wananchi haziakisi uhalisia na kuchochea umaskini miongoni mwao.
“Kodi hutozwa matajiri ili kuwasaidia maskini, unategemea nini kwa wananchi hawa unapowatoza kipato chao kidogo? Sasa wenzetu hawa hawaelewi, nilimuandikia barua Dk Mwigulu kuhusu hili mpaka sasa sijapata majibu” alisema
Alisema: “Gharama za kuendesha Serikali kila siku zinapanda, Rais anatembea na msafara wa magari karibu 70 hadi 80 Land Cruiser za kazi gani? Hivi kweli nchi hii na umaskini wake unatumia magari yote haya, waziri mkuu, makamu wa Rais.”
Mbowe alitolea mfano Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika na Naibu wake wawili, Salum Mwalimu (Z’bar) na Benson Kigaila (Bara) wote watatu wametumia gari moja kutoka Dar es Salaam hadi Shinyanga ili kubana matumizi.
Kiongozi huyo wa upinzani ametoa kauli hiyo wakati Rais Samia akiendelea na ziara za kikazi mkoani Iringa akitokea Mkoa wa Njombe na Mbeya alikoanzia.
Lengo la ziara hiyo iliyoanza Agosti 5 mwaka huu ni kukagua, kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.
Chanzo: MWANANCHI
Achaa Matusi Kijana Jibu hoja kwa hoja! Je hujawai kumuona Mbowe Ikulu Kwa Mama!!?? Hata kwa picha tu!! Tuanzie hapo. kwanza!!!mamako anagawa mgao kumbe
Kumbe wwe bado Mtoto! Basi tulia wacha walengwa wajadili mjadala huru huuu!!!!Ni wapi alikolambia hiyo asali , weka ushahidi kabla hatujakufungukia zaidi .
Kuna wakati naona mindset ya viongozi wetu wa sasa ni ya kimasikini inayowaelekeza kwenye anasa [matumizi makubwa kupitiliza] huku wamezungukwa na raia wa kawaida wasio na kitu...Mwigulu Nchemba alikuwa na msafara wa ma-V8 na mapikipiki siku aliyokwenda kusoma bajeti ya serikali.
..kwa sisi tuliokula chumvi nyingi tunakumbuka miaka ambayo mawaziri hawakuwa na misafara, na walitumia magari madogo kama peugeot 404, na 504.
..hapo utamuona Amir Habib Jamal waziri wa fedha ameshuka toka kwenye peugeot 404 anaingia bungeni kusoma bajeti.
Asali imechanganywa na faru John tabu tupu. Haya magaidi sio ya kuyaamini kabisa.Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya Serikali ya kubana matumizi.
Amesema, gharama za maisha zinatesa wananchi huku Serikali ikionekana kutodhihirisha kwa vitendo mkakati wake wa kubana matumizi
Mbowe aliyasema hayo juzi mkoani Shinyanga alipokuwa akihutubia wanachama wa chama hicho katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani iliyoandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha).
Alisema hivi karibuni alimwandikia ujumbe Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Chemba kumweleza kodi na tozo wanazotoza kwa wananchi haziakisi uhalisia na kuchochea umaskini miongoni mwao.
“Kodi hutozwa matajiri ili kuwasaidia maskini, unategemea nini kwa wananchi hawa unapowatoza kipato chao kidogo? Sasa wenzetu hawa hawaelewi, nilimuandikia barua Dk Mwigulu kuhusu hili mpaka sasa sijapata majibu” alisema
Alisema: “Gharama za kuendesha Serikali kila siku zinapanda, Rais anatembea na msafara wa magari karibu 70 hadi 80 Land Cruiser za kazi gani? Hivi kweli nchi hii na umaskini wake unatumia magari yote haya, waziri mkuu, makamu wa Rais.”
Mbowe alitolea mfano Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika na Naibu wake wawili, Salum Mwalimu (Z’bar) na Benson Kigaila (Bara) wote watatu wametumia gari moja kutoka Dar es Salaam hadi Shinyanga ili kubana matumizi.
Kiongozi huyo wa upinzani ametoa kauli hiyo wakati Rais Samia akiendelea na ziara za kikazi mkoani Iringa akitokea Mkoa wa Njombe na Mbeya alikoanzia.
Lengo la ziara hiyo iliyoanza Agosti 5 mwaka huu ni kukagua, kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.
Chanzo: MWANANCHI
Chenga tu hakuna lolote hapo anaacha kuongelea katiba anazungimzia utitiri wa magari kwenye msafara wa Raisi,Mbowe anajizima akili makusudi anajifanya hajui kuwa ujinga wote huo ni sababu ya katiba Mbovu tuliyonayo.Ili wenye AKILI tumuelewe arudi kwenye ajenda ya KATIBA MPYA.Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi.
Amesema, gharama za maisha zinatesa wananchi huku serikali ikionekana kutodhihirisha kwa vitendo mkakati wake wa kubana matumizi
Mbowe aliyasema hayo juzi mkoani Shinyanga alipokuwa akihutubia wanachama wa chama hicho katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani iliyoandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA).
Alisema hivi karibuni alimwandikia ujumbe Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba kumweleza kodi na tozo wanazotoza kwa wananchi haziakisi uhalisia na kuchochea umaskini miongoni mwao.
“Kodi hutozwa matajiri ili kuwasaidia maskini, unategemea nini kwa wananchi hawa unapowatoza kipato chao kidogo? Sasa wenzetu hawa hawaelewi, nilimuandikia barua Dk Mwigulu kuhusu hili mpaka sasa sijapata majibu” alisema
Alisema: “Gharama za kuendesha serikali kila siku zinapanda, Rais anatembea na msafara wa magari karibu 70 hadi 80 Land Cruiser za kazi gani? Hivi kweli nchi hii na umaskini wake unatumia magari yote haya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais.”
Mbowe alitolea mfano Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika na Naibu wake wawili, Salum Mwalimu (Z’bar) na Benson Kigaila (Bara) wote watatu wametumia gari moja kutoka Dar es Salaam hadi Shinyanga ili kubana matumizi.
Kiongozi huyo wa upinzani ametoa kauli hiyo wakati Rais Samia akiendelea na ziara za kikazi mkoani Iringa akitokea Mkoa wa Njombe na Mbeya alikoanzia.
Lengo la ziara hiyo iliyoanza Agosti 5 mwaka huu ni kukagua, kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.
Chanzo: Mwananchi