Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Gongowaz nyie! Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, mwingine alitangua mbele za haki na wengine watatoka kwa aibu.Ujinga wako hauwezi kuwa mzigo Kwa wengine beba mwenyewe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gongowaz nyie! Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, mwingine alitangua mbele za haki na wengine watatoka kwa aibu.Ujinga wako hauwezi kuwa mzigo Kwa wengine beba mwenyewe..
..Mwigulu Nchemba alikuwa na msafara wa ma-V8 na mapikipiki siku aliyokwenda kusoma bajeti ya serikali.
..kwa sisi tuliokula chumvi nyingi tunakumbuka miaka ambayo mawaziri hawakuwa na misafara, na walitumia magari madogo kama peugeot 404, na 504.
..hapo utamuona Amir Habib Jamal waziri wa fedha ameshuka toka kwenye peugeot 404 anaingia bungeni kusoma bajeti.
Mkuu, wewe ulitarajia kumuona akishuka kutoka kwenye V8 wakati gari ya aina hiyo haikuwepo sokoni?
Tanzania magari ya umma sio mengi kihivyo. Tatizo hayo magari mache yaliyopo ni ya kifahari na yameelekezwa kwa walanchi, sio kwa taasisi zenye uhitaji wa kweli wa hivyo vitendea. Kwenye nchi za wenzetu, police departments, kwa mfano, hazina uhaba wa magari. Kila police officer ambaye yuko on duty ana police cruiser yake. Ndiyo maana response time yao ni fupi sana. Wakihitajika mahali, wanafika pale in a matter of few minutes!
..hata wakati huo kulikuwa na magari ya bei mbaya kwa hali ya maisha na uchumi ya wakati huo.
..ukiachilia mbali matumizi ya magari ya kifahari sasa hivi kuna utitiri wa viongozi wenye misafara mikubwa mikubwa.
..Nimetolea mfano wa Waziri Amiri Jamal kwenda bungeni kusoma bajeti bila msafara. Na Waziri Dr.Mwigulu Nchemba kupelekwa bungeni na msafara wa ma-V8 na mapikipiki.
..Hata ndani ya Ccm kuna matumizi makubwa ya kifahari sijui kama unakumbuka kauli ya Katibu Mwenezi Polepole kuhusu V-8s. Na ukumbuke kwamba Ccm inaendeshwa kwa RUZUKU inayotokana na kodi za Watanzania.
Umewahi kuona ziara ya Rais wa China na msafara wake ?Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi.
Amesema, gharama za maisha zinatesa wananchi huku serikali ikionekana kutodhihirisha kwa vitendo mkakati wake wa kubana matumizi
Mbowe aliyasema hayo juzi mkoani Shinyanga alipokuwa akihutubia wanachama wa chama hicho katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani iliyoandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA).
Alisema hivi karibuni alimwandikia ujumbe Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba kumweleza kodi na tozo wanazotoza kwa wananchi haziakisi uhalisia na kuchochea umaskini miongoni mwao.
“Kodi hutozwa matajiri ili kuwasaidia maskini, unategemea nini kwa wananchi hawa unapowatoza kipato chao kidogo? Sasa wenzetu hawa hawaelewi, nilimuandikia barua Dk Mwigulu kuhusu hili mpaka sasa sijapata majibu” alisema
Alisema: “Gharama za kuendesha serikali kila siku zinapanda, Rais anatembea na msafara wa magari karibu 70 hadi 80 Land Cruiser za kazi gani? Hivi kweli nchi hii na umaskini wake unatumia magari yote haya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais.”
Mbowe alitolea mfano Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika na Naibu wake wawili, Salum Mwalimu (Z’bar) na Benson Kigaila (Bara) wote watatu wametumia gari moja kutoka Dar es Salaam hadi Shinyanga ili kubana matumizi.
Kiongozi huyo wa upinzani ametoa kauli hiyo wakati Rais Samia akiendelea na ziara za kikazi mkoani Iringa akitokea Mkoa wa Njombe na Mbeya alikoanzia.
Lengo la ziara hiyo iliyoanza Agosti 5 mwaka huu ni kukagua, kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.
Chanzo: Mwananchi
weee! Tulia usitwambie habari za wauza watu hao! Tangu zama kwani hukusoma?? Au umesha sahau mara hii?!......sisi ni sisi !! Wao ni wao! Hatupangiwi...kwa nini wao wasituige???Magari ya umma TZ sio mengi kihivyo. Shida ni anasa za viongozi wetu. Nimetolea mfano wa police departments za wenzetu kwasababu ziko equipped kisawasawa. New York City Police Department (NYPD), kwa mfano, ina police cars takribani 10,000, boats takribani 11, helicopters takribani 8 na makorokoro mengine kibao. Kwa Tanzania, scale hii ya vitendea kazi labda iko TPDF. Police wetu wako barely equipped!
hawa chokagi hao..wata lalamika tu!!.sijui kwa nini hawa walalamikaji wa hivi hawakuchukuliwa utumwani na beberu?? Leo tungekuwa na maendele sana. Kusema sema tuuu...na vitu vidogo km wachawi tu. Mbowe alifaa kuwa mchawi wa gamboshi hukooooo......atumie usafiri wa fisi.mpaka aote sugu makalioni.Anataka watumie baiskeli?
Kuna siku utaelewa tu hata shuleni wanafunzi huelewa kwa hatua wala haihitajiki nguvu kubwa.wewe na mamako katiba mpya mmeshindwa kuiongelea au mbowe unafikir ni basha lako ongelea wew na mamako katiba mpya na mbowe hahitaji wew umuelewe zezeta la ccm sisi wenye akili chadema tunamuelewa wew endelea kupikea buku saba kwenye makorido ya lumumba baada ya kuleta boko jf.
Uko sahihi ndugu yangu. Hakuna wapinzani wa kweli nchi hii ni michosho tu. Rais wa tano walimchukia kwa sababu hakuwalambisha asali.Wote wachumia "Tumbo" tu hao,
Tz hatujawahi kuwa na siasa ukweli tangu hapo,na hakuna mpinzani wa kweli labda km ruzuku yke haitoki juu.
weee! Tulia usitwambie habari za wauza watu hao! Tangu zama kwani hukusoma?? Au umesha sahau mara hii?!......sisi ni sisi !! Wao ni wao! Hatupangiwi...kwa nini wao wasituige???