Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

Ndio kazi ya upinzani makini uko kwa ajili ya watu kwa maendeleo ya watu.

Kongole Mh Mbowe.
 
“Kodi hutozwa matajiri ili kuwasaidia maskini, unategemea nini kwa wananchi hawa unapowatoza kipato chao kidogo? Sasa wenzetu hawa hawaelewi, nilimuandikia barua Dk Mwigulu kuhusu hili mpaka sasa sijapata majibu” alisema
Sikio la kufa halisikii dawa
 
Alisema: “Gharama za kuendesha serikali kila siku zinapanda, Rais anatembea na msafara wa magari karibu 70 hadi 80 Land Cruiser za kazi gani? Hivi kweli nchi hii na umaskini wake unatumia magari yote haya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais.”
Mbowe usilalamike, haya yamesababishwa na wewe mwenyewe kuuza timu 2015
 
Ha ha 😂😂 hata yule wa Ubeligiji alipolipwa mafao akatulia, yamekata kwa madeni kaanza kuongea ongea. Kweli kungulu hafugiki. Siku izi wakiona mambo hayasomeki wanamtuma Heche kubeep Mfumo ili wakumbukwe
Unakita mtu kama wewe uko bize na ukarani wa sensa. Yaanimkiwa mitandaoni mnaonekana mko vizuri sana.
 
Lile faili lipo, ni kuonesha tu nia ya kuendelea na case, sijui DPP anasubiri nini??? Ningekuwa mi ndiye DPP huyu Mbowr ningehakikisha namfunga maisha au hukumu ya kifo, hafai kabisa kwa demokrasia ni dikiteta na muuaji
DPP aanze kumfunga mumeo kwanza
 
Hizo V8 zina sound proof ya malalamiko ya matatizo yanayowakabili wananchi.

Wakishastaafu ndio wanakumbuka walichokifanya na kuandika vitabu..

Ila wakiwa madarakani hawawezi tuelewa tunaposema maisha magumu.
Yeye anahudumiwa kila kitu bure + posho nono tupu hawezi kujua matatizo ya wananchi
 
Alivyofariki mwamba JPM si walikunywa bia hao jamaa, sasa analalamika nini kwa huyu tena wakati ndo waliona anawafaa wao wenye kujua kula nchi.
 
Rais akienda ziara wahusika wote lazima wawepo,kubana matumizi kwenye event kama hizo haiwezekani.
 
Asali ikipungua kidogo DJ akili inamrudia. Aongezewe asali huyu kamanda uchwara.
 
Lile faili lipo, ni kuonesha tu nia ya kuendelea na case, sijui DPP anasubiri nini??? Ningekuwa mi ndiye DPP huyu Mbowr ningehakikisha namfunga maisha au hukumu ya kifo, hafai kabisa kwa demokrasia ni dikiteta na muuaji
Madai mazito sana!

Ila Kama una ushahidi wa madai yako mbona hujachukua hatua stahiki za kumfungulia kesi??!!
 
Rais akienda ziara wahusika wote lazima wawepo,kubana matumizi kwenye event kama hizo haiwezekani.
Ni wa kazi gani? Kuna maswali yanayoruhusiwa kutoka kwa wananchi ili waziri mwenye dhamana ayajibie? Misuse of resources tu. Kuna wakati msafara wa IGP itabidi ma RPC wote wawepo 😁😁 kama ni mhimu wote wawepo, tunazo wizara ngapi na je wote wapo au ni uhuni tu wachache ndo wanastahili kuwepo?
 
Ujinga wako hauwezi kuwa mzigo Kwa wengine beba mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…