Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi


Mkuu, wewe ulitarajia kumuona akishuka kutoka kwenye V8 wakati gari ya aina hiyo haikuwepo sokoni?

Tanzania magari ya umma sio mengi kihivyo. Tatizo hayo magari mache yaliyopo ni ya kifahari na yameelekezwa kwa walanchi, sio kwa taasisi zenye uhitaji wa kweli wa hivyo vitendea. Kwenye nchi za wenzetu walioendelea, police departments, kwa mfano, hazina uhaba wa magari. Kila police officer ambaye yuko on duty ana police cruiser yake. Ndiyo maana response time yao ni fupi sana. Wakihitajika mahali, wanafika pale in a matter of few minutes!
 

..hata wakati huo kulikuwa na magari ya bei mbaya kwa hali ya maisha na uchumi ya wakati huo.

..ukiachilia mbali matumizi ya magari ya kifahari sasa hivi kuna utitiri wa viongozi wenye misafara mikubwa mikubwa.

..Nimetolea mfano wa Waziri Amiri Jamal kwenda bungeni kusoma bajeti bila msafara. Na Waziri Dr.Mwigulu Nchemba kupelekwa bungeni na msafara wa ma-V8 na mapikipiki.

..Hata ndani ya Ccm kuna matumizi makubwa ya kifahari sijui kama unakumbuka kauli ya Katibu Mwenezi Polepole kuhusu V-8s. Na ukumbuke kwamba Ccm inaendeshwa kwa RUZUKU inayotokana na kodi za Watanzania.
 

Magari ya umma TZ sio mengi kihivyo. Shida ni anasa za viongozi wetu. Nimetolea mfano wa police departments za wenzetu kwasababu ziko equipped kisawasawa. New York City Police Department (NYPD), kwa mfano, ina police cars takribani 10,000, boats takribani 11, helicopters takribani 8 na makorokoro mengine kibao. Kwa Tanzania, scale hii ya vitendea kazi labda iko TPDF. Police wetu wako barely equipped!
 
Umewahi kuona ziara ya Rais wa China na msafara wake ?
 
Vigari mia tu ivo??? Mie Nilidhania anasindikizwa na mahelikopita kumi....vifaru vitano....kuuumbe ni hizo beattle za vumbini zisizo kula hata mafutaa ya buku??....acheni kuendekeza dhiki nyie watu....mwishowe mtamwambia Rais atumie choo cha shimo kubana matumizi ya maji......mbowe hajui kufikiri sijui kwa nini hajadharauliwa mpaka sasa....ana bahati sana!! ashukuru ana wafuasi vilaza......
 
weee! Tulia usitwambie habari za wauza watu hao! Tangu zama kwani hukusoma?? Au umesha sahau mara hii?!......sisi ni sisi !! Wao ni wao! Hatupangiwi...kwa nini wao wasituige???
 
Anataka watumie baiskeli?
hawa chokagi hao..wata lalamika tu!!.sijui kwa nini hawa walalamikaji wa hivi hawakuchukuliwa utumwani na beberu?? Leo tungekuwa na maendele sana. Kusema sema tuuu...na vitu vidogo km wachawi tu. Mbowe alifaa kuwa mchawi wa gamboshi hukooooo......atumie usafiri wa fisi.mpaka aote sugu makalioni.
 
Kamanda ndio kafikia kwenye kujadili misafara šŸ˜€
Mbona kaiongelea mbali ilitakiwa kama kipindi cha jpm aitishe press wajadili hali ya ss ya uchumi kwa ujumla
Hii nii kama ameongea tu watu wasiulize sana kwann yuko kimya
 
Kuna siku utaelewa tu hata shuleni wanafunzi huelewa kwa hatua wala haihitajiki nguvu kubwa.
 
Mbowe aelewe anaowaona wanakuwa Ni wataalamu na watendaji mbalimbali ,wanao kuwa wameambatana na mh Rais kuweza kutoa na kujibu hoja mbalimbali katika miradi mbalimbali, lakini pia kuelezwa hatua ambazo zinakuwa zinaendelea katika miradi ya serikali,

Ndio maana ya dhana kuwa Urais Ni Taasisi hivyo hao wanakuwepo kuwaeleza wananchi kinachokuwa kinatendeka na Kunaendelea,

Ndio maana unakuwa unaona mh Rais akiwasimamisha watoe majibu pale inapohitajika huku Nate akifuatilia na kuangalia uhalisia wa majibu hayo, na yanapoonekana hayaridhishi Kuna watu wanawajibishwa
 
Wote wachumia "Tumbo" tu hao,
Tz hatujawahi kuwa na siasa ukweli tangu hapo,na hakuna mpinzani wa kweli labda km ruzuku yke haitoki juu.
Uko sahihi ndugu yangu. Hakuna wapinzani wa kweli nchi hii ni michosho tu. Rais wa tano walimchukia kwa sababu hakuwalambisha asali.
 
weee! Tulia usitwambie habari za wauza watu hao! Tangu zama kwani hukusoma?? Au umesha sahau mara hii?!......sisi ni sisi !! Wao ni wao! Hatupangiwi...kwa nini wao wasituige???

Tupe justification ya wanasiasa kula nchi na magari ya kifahari wakati first responders hawana vitendea kazi.
 
Kumekuwa na maneno ya kupotosha kuwa Mbowe kalambishwa asali. Siyo kweli , msikilize katika clip hii saa ya 4:11

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…