Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

Palipo na udhia penyeza rupia. Hongera SSH, hapa uliupiga mwingi.
 
Hata akilamba tu hamna shida, kwani kuna mtu anaumia?

Tupambanie katiba mpya ndo itatutoa kwenye huu mkwamo kama Watanzania!!
 
Viongozi wetu wanatakiwa wawe wazalendo kwa kubana matumizi.
 
Aikael Ni Odinga wa Tz , mwalimu wangu prof Shivji aliwahi kuniambia nisimuamini mtu mnafiki hata Kama anasema ukweli. Ufipa mmelogwa pyuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…