Ya watanzania.Kwa faida ya nani?
Huwezijikwamua pasipomazingira ya kujikwamuaEnda shule ujikomboe hakuna neno kujiudhuru ni kujiuzulu, achana kuhangaika na walimwengu tafuta jinsi ya kujikwamua
Watu smart na wachaMungu kina MeckSadick walijiengua kitambo.Kwa kupigwa na njaa lzm ujitoe ufahamu,usiombe njaaJah ni mganga njaa, jiwe akimwagiza ale sahani nzima ya kitimoto huku tukio Hilo likirushwa mubashara, atatii. Ila upumbavu Kama huo jiwe akimwagiza mtu mcha Mungu, muadilifu, mnyenyekevu na mweledi Kama Mussa Assad, kamwe hawezi jaribu. HUENDA akavua hata kiatu amtandike nacho jiwe usoni
Unapojikwamua wakati hakuna mazingira ya kujikwamua, utapata mtelemko wakati mazingira yakiwepo ya kujikwamuaHuwezijikwamua pasipomazingira ya kujikwamua
Uvumilivu una mwisho.Nani wa kuleta machafuko nchi hii?
Wote tunaishia nyuma ya keyboard tu hao viongozi wa upinzani wanaishia Twitter tu huko kulalama.
Wote wanaogopa kipigo cha mbwa koko hivyo hakuna machafuko yatakayotokea kwenye nchi hii labda machafuko ya kwenye mitandao.
Vikwazo ni vingi,tofauti na nchi zilizoendelea ushindwe wwe tuUnapojikwamua wakati hakuna mazingira ya kujikwamua, utapata mtelemko wakati mazingira yakiwepo ya kujikwamua
Hivi Jafo anajua kuwa ni yeye ndiye anataka kuivuruga amani na anataka kuleta umwagaji damu nchini??
Hivi kukitokea machafuko hapa nchini kutokana na huu "uchafuzi" wanaoufanya, ni nani atalaumiwa??