Na mzee Kibao nae vipiKwamba mnaamini kuna wajinga wa hivyo mnaweza kuwapoteza maboya? Ni hivi, katika uhayawani ule dhalimu magu kwa kumtuma Makonda ndio wahusika. Hili hata mkadhikiri uchi hapo kwa Mkapa hamuwezi kulibadilisha.
Ni mraibu yule, nadhani kutokana na changamoto zake za kiafya, huenda kufuata matibabu pamoja na checkingTupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Kumbuka hujafa hujaumbikaOohh, kwa mkewe... lakini sidhani kama anapiga chekencha tena, labda atakuwa kama mpare na picha ya samaki
Kwani 2020 si alipiga kampeni mwanzo mwisho yule wa push-up ndiyo ilikuwa trip shamba trip garage na nini kilifuata. Wacheni kejeli wakati nyie ndiyo mlimpiga risasi kama mnaua tembo.Na kumbuka hujafa hujaumbika.Hayo machuma yakichomoka pale gari ikipiga shimo wakati wa kampeni?
Hata jiwe alikuwa mgonjwa na alikuwa raisi kwa mgongo wa wizi.Sasa kama mgonjwa kwa nini anataka kazi zenye majukumu mengi
Dhalimu magu ndio muasisi wa tabia hii chafu.Na mzee Kibao nae vipi
Wewe hupendi kuteuliwa?Huyo mpuuzi na elimu yake ya MEMKWA hana ajuacho zaidi ya kumsifia Samia akiwa na matumaini ya kuteuliwa.
Ningependa kuteuliwa ni asubuhi tu lakini maisha niliyochagua kuishi na uteuzi ni kama ardhi na mbingu. Mimi najua kuheshimu watu wote lakini uchawa na kumnyenyekea binadamu yoyote siwezi .Wewe hupendi kuteuliwa?
Kuna mtu amedukua ID hii au ni wewe mwenyewe? Ndiyo umeuanza mwaka kizombie namna hii? This is not you !Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Mkuu sio kwamba anakwenda "kupewa maelekezo"?
Kuna mtu amedukua ID hii au ni wewe mwenyewe? Ndiyo umeuanza mwaka kizombie namna hii? This is not you !
Vipi Mwangosi?Dhalimu magu ndio muasisi wa tabia hii chafu.
Huwezi fananisha na enzi za dhalimu magu.Vipi Mwangosi?
Vipi Ulimboka
Vipi wale machadema 5 waliokufa baada ya kulipukiwa na bomu la mkono pale soweto arusha?
OK,ila huu si aina ya uandishi na mchango wako humu ambao unaheshimika.Haijadukuliwa
Magu was a devil in human form.Huwezi fananisha na enzi za dhalimu magu.
Basi kumbe we ni taahira ndio maana Mbowe anawageuza tu kama chapatiHuwezi fananisha na enzi za dhalimu magu.
Acha kupanick mfuasi wa dhalimu magu. Umewahi kuona namfagilia Mbowe, au kuwa na akili ni kumsifia na kuficha uovu wa dhalimu magu?Basi kumbe we ni taahira ndio maana Mbowe anawageuza tu kama chapati
hutaki aende kliniki,hatahivyo dunia ni kijiji funguka, usiwe kama wewe safari zako ni makanya, hedaru dar.Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!