Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Pre GE2025 Pamoja na kuwa namuunga Mkono Lissu Lakini sifurahishwi na yeye kwendakwenda Ubelgiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba mnaamini kuna wajinga wa hivyo mnaweza kuwapoteza maboya? Ni hivi, katika uhayawani ule dhalimu magu kwa kumtuma Makonda ndio wahusika. Hili hata mkadhikiri uchi hapo kwa Mkapa hamuwezi kulibadilisha.
Na mzee Kibao nae vipi
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Ni mraibu yule, nadhani kutokana na changamoto zake za kiafya, huenda kufuata matibabu pamoja na checking
 
Hayo machuma yakichomoka pale gari ikipiga shimo wakati wa kampeni?
Kwani 2020 si alipiga kampeni mwanzo mwisho yule wa push-up ndiyo ilikuwa trip shamba trip garage na nini kilifuata. Wacheni kejeli wakati nyie ndiyo mlimpiga risasi kama mnaua tembo.Na kumbuka hujafa hujaumbika.
 
Wewe hupendi kuteuliwa?
Ningependa kuteuliwa ni asubuhi tu lakini maisha niliyochagua kuishi na uteuzi ni kama ardhi na mbingu. Mimi najua kuheshimu watu wote lakini uchawa na kumnyenyekea binadamu yoyote siwezi .
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
Kuna mtu amedukua ID hii au ni wewe mwenyewe? Ndiyo umeuanza mwaka kizombie namna hii? This is not you !
 
Dhalimu magu ndio muasisi wa tabia hii chafu.
Vipi Mwangosi?
Vipi Ulimboka
Vipi wale machadema 5 waliokufa baada ya kulipukiwa na bomu la mkono pale soweto arusha?
 
Basi kumbe we ni taahira ndio maana Mbowe anawageuza tu kama chapati
Acha kupanick mfuasi wa dhalimu magu. Umewahi kuona namfagilia Mbowe, au kuwa na akili ni kumsifia na kuficha uovu wa dhalimu magu?
 
Tupo Salama bila Shaka!

Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.

Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.

Ni hayo tuu!
hutaki aende kliniki,hatahivyo dunia ni kijiji funguka, usiwe kama wewe safari zako ni makanya, hedaru dar.
 
Back
Top Bottom