Pamoja na madhaifu yao, watu wa Pwani ni watu poa sana

Kuongozwa na watu wenye utamaduni wa umaskini nchi itaendelea kuwa maskini. Mpe nchi mchaga uone mabadiliko changa ya haraka.


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Waafrika asili Yao ni masikini Mkuu.

We angalia nchi zote za Afrika na zile zenye watu weusi.

Sisi kiasili ni masikini sema tunahangaika tuu kukataa asili yetuπŸ˜€πŸ˜€πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Shikamoo Mkuu! Nimekuelewa vema sana. Ni kweli kabisa, watu Wa ukanda Wa Pwani na kwa kiasi kikubwa jamii yote ya kiislamu wana ukarimu fulani, upole na ustaarabu. Na ndio maana, wakipewa uongozi jamii kubwa ya watu hutabasamu though mapungufu madogo madogo hayawezi kukosekana.
 
Jamani tukubali tu. Nchi yetu imepitia kipindi kigumu sana. Hii miaka mitano tumeumizwa sana.

Ni miezi kumi sasa hatujasikia utekaji utesaji dhuluma na uuwaji.

Pale ikulu alikuwa muovu muongo sana.

Sasa hivi tuwatafute waliokuwa wanasimamia Yale magenge.

Makonda na Mnyeti Hawa wanawajua watekaji
 
Kuongozwa na watu wenye utamaduni wa umaskini nchi itaendelea kuwa maskini. Mpe nchi chaga uone mabadiliko changa ya haraka.
Uchagani kuna utajiri gani mngekuwa hata jiji sio arusha maana kule arusha mmestaarabika kutokana kuna mchanganyiko

Ila moshi ushamba tu hata uwe na pesa still utakunywa mapombe ya kienyeji

Na bado kuna wapare wabahili sijui mntafuta pesa ili mfanyaje pwani wstaarabu kwenu huko uchagni mnastaarabika mpaka ufike shule ndo maana mnatakiwa msome sana
 
Asante kwa bandiko murua kabisa. Sioni tatizo mama kuchamba na kusuta. Yawezekana Spika alikurupuka tu kujiuzulu. Angetulia mambo yangepoa tu.

Tatizo watu wa bara tulimshinikiza aachie bila kufanya uchambuzi wa kina.
 


Dini ya kiislam ni Dini ya Haki MKUU.

Uislam Kwa Kiswahili ni unyenyekevu.

Mimi ni Mkristo Hilo nalijua.

Wapwani wanamapungufu ya kibinadamu, ya kawaida Ila ni nadra Sana kiwanja roho za kikatili.
 


Ujivuni na ushenzi
 
Asante kwa bandiko murua kabisa. Sioni tatizo mama kuchamba na kusuta. Yawezekana Spika alikurupuka tu kujiuzulu. Angetulia mambo yangepoa tu.

Tatizo watu wa bara tulimshinikiza aachie bila kufanya uchambuzi wa kina.



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Unataka kusema Sisi bila kusoma ni Kama wanyama??
 
Ustaarabu kwa watu wa Pwani unachagizwa na ukweli kwamba mikoa ya pwani ya Bahari ya hindi imepokea na kuingiliana na kila aina ya wageni tangu miaka ya zamani sana kulinganisha na mikoa ya bara ambayo wengi walikuwa wanaishi wenyewe kwa wenyewe


Ndiyo maana pia Ni ngumu kukuta watu wa Pwani wanauana kwa matukio ya wivu wa mapenzi.

Mwanamke akizingua sawa tu sanasana ni kuachana atafute mwingine.

Pia roho ya kuua watu kisa mali HAPANA kwa sababu hakuna atakayezikwa na mali
 


Kuna watu watakubishia.
 
Dini ya kiislam ni Dini ya Haki MKUU.

Uislam Kwa Kiswahili ni unyenyekevu.

Mimi ni Mkristo Hilo nalijua.

Wapwani wanamapungufu ya kibinadamu, ya kawaida Ila ni nadra Sana kiwanja roho za kikatili.

Ndio maana Will alipokashifu wazanzibar na uislam akiwa kanisani na kusema 95% ni waislam mnataka iwe nchi ya kiislam ili waarabu warudi halafu waje watusunbue

Sasa angalia mmatumbi bila soni akajisahau tena akawafuata huko huko Oman kwenda kuwaomba tena akiwa kavaa kanzu William huyu huyu

Hapo ndio neno lako limejijibu waislam tuna roho ya ukarimu sana
Na yeye hakuwahi hata ku apologies
Kwa kuwa ni mbaguzi
 


Waislam wanamapungufu Yao lakini haiondoi sifa zao za Msingi, unyenyekevu na ukarimu
 
Wakarimu sana watu wa pwani. Unamkuta ameketi kwenye mkeka wake anakula mihogo Ila lazima atakukaribisha japo ukate kipande.

Nikienda shambani unamwambia nipatie Nazi unashangaa anakwea mnazi anaangua na anafua dafu anakupa Nazi hata kumi mpaka inakubidi uone haya japo umpe hata elfu mbili ya sukari.

Sema wambea haoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hawana dogo Wala kubwa. Wanajua kumsuta mtu mpaka unazimiaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Huwezi kuwa mchawi na mshirikina halafu ukawa na roho nzuri
 



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Umbeya ni utamaduni wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…