Pamoja na madhaifu yao, watu wa Pwani ni watu poa sana

Hahahah
Sisi watu wa pwani ...tuna wanawake warembo pia mkuu ongezea hilo[emoji23][emoji23]

Wakipenda wamependa hawa sio kama wale wa sinoni daraja mbili bila pesa si lolote

Halafu jengine waweza pikiwa kisamvu na ukahisi umekula nyama
 
This post gives me chills, goosebumps and Nostalgia at par, Coast is the best, ever
 
Hii itakuwa kuanzia miaka ya 80 kurudi nyuma.
Mimi ni mtu wa pwani lakini sina hata kimoja hapo na vingi ni vice versa.

Sasa hivi dunia ni survival of the fittest hakuna mnyonge wala mjanja kuliko mwengine.
 
Umeandika sifa nyepesi, sifa kuu umeiacha..

Wana "brain" ya kuliongoza taifa?
Kwani nani alikuwa hana brain ya kuliongoza taifa kati ya magufuli na kikwete?

Ondoa hii shitty mindset kwamba watu wa pwani hawana akili.
 
Kuongozwa na watu wenye utamaduni wa umaskini nchi itaendelea kuwa maskini. Mpe nchi mchaga uone mabadiliko changa ya haraka.
Wachaga ndio kina nani?
Hao unaowasema wamefanya maendeleo gani hapa tanzania na dunia kiujumla mpaka wewe kuwatolea mfano?
Na nitajie sehemu moja tu Tanzania ambayo imefanikiwa kufanya poverty eradication for 100%...?
Sehemu moja naongelea huko uchagani unakosema.

Mnatia hasira sana nyie watu wenye asili ya majigambo na dharau wakati kiuhalisia ni watu wa ajabu'ajabu tu.

Condescendence snowflake.
 
Watu wa pwani visiwani ndio wafupi, Ila sio wa kutoka Tanganyika.

Ukoo wangu watu wafupi wanaanzia 5.8 feet.
 

Umemjibu vizuri sana wao Ndio wanaongoza kwa kufa na njaa Ila sie wavivu eti
 
Brain la kuongoza Taifa alikua nalo mwendazake tu
Yule mpima mapapai?

Unadhani kati ya magufuli na kikwete nani alikuwa na brain?

Ukisema magufuli then nitatilia shaka uwezo wako wa kudifferentiate consciousness na instinctive motivation.
Na bila shaka wewe utakuwepo hapo kwenye kundi la pili.
 
Wa pwani wamejaaliwa roho nzuri pasipo na na chuki, mauwaji, ubaguzi wa rangi na ukabila.....bara sasa 🤣
 
Kwenye suala la mapenzi watu wa pwani hawana shida kabisa
Na hii ni kwa exprienc yang ya kukaa bagamoyo kwa muda wa kama mwezi hv
Msichana atakukaribisha kwao utaenda utakuta wazz unawasalimia wala huulizwi swali 😀😀😀
Jarib hilo kwa mtt wa mzee masawe uone 😄😄😄
 
Mtu awe mchawi na mshirikina halafu awe na huruma na roho nzuri?
 
Kuongozwa na watu wenye utamaduni wa umaskini nchi itaendelea kuwa maskini. Mpe nchi mchaga uone mabadiliko changa ya haraka.
wachaga maendeleo gani watayaleta. Nenda kaangalie kwao vijijini kuna maendeleo gani. kungekuwa na maendeleo kwao wasingepakimbia kwao. wachaga wamejaa ubaguzi wa kikabila, wana roho mbaya. Hawawezi kuongoza taasisi za kitaifa, wanapenda sana sifa hata za kijinga. Hawawezi uongozi, angalia NCCR-Mageuzi, TLP, CHADEMA. Hakafu ving'ang'anizi hawatoki madarakani. Hovyo kabisa
 
Umemjibu vizuri sana wao Ndio wanaongoza kwa kufa na njaa Ila sie wavivu eti
Jinga sana hawa watu! Mara kwa mara ni huko huko kwao ndiko utasikia kuna njaa hata kama mvua zinanyesha, lakini ni very rare usikie eti mikoa ya pwani kuna njaa!
 
Watu wa pwani kwa roho mbaya ndio maana mnaongoza kwa ushirikina
 
Shida ni kwamba baada ya miaka 20 hapa dar wazaramo tutakua tushafanikiwa kuwahamisha
 
Tunajali mdomoni tu lkn hatuwapendi watu wabara
Tungekuwa hatuwapendi tusingewauzia viwanja mjenge karibu na sisi,maisha ya kwetu ni pamoja na watu ndo maana nyumba zetu nje tuliweka vibarwza ili hata tukiwa tinakula mgeni akipita ajumuike,haya Mambo ya kujenga kuweka ukuta mmetuletea watu wa Bara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…