Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
niwapongeze na kuwapa hawa jamaa pole kwa kazi ngumu wanayofanya.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Hayo ya "wanahifadhi" hayana maana kama watu wanaumia.Halafu,hiyo siyo kazi waliyotumwa kufanya at a first glance.Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Hao wameukubali uchawa na itumwa wa CCM kikamilifu kabisaUkiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Kwahiyo hata mikataba aliyoingia Mama mingi kwa siku moja na ule wa DP WORLD wanajua ubovu wake lakini wameuchuna. Basi wangekuwa wanatoa sapoti kwa wanaharakati. Swali la kujiuliza ni kwamba hakuna ndugu yeyote wa TISS ambaye ametekwa na kuuawa. Kwa kweli nchi hii tunaonewa sana kwanini Mungu asishuke kutukomboa jamani. Ee Mungu Baba usiku huu tunakuomba komboa nchi yetu Tanzania dhidi ya WATESI. Amina.Ha
Hayo ya "wanahifadhi" hayana maana kama watu wanaumia.Halafu,hiyo siyo kazi waliyotumwa kufanya at a first glance.
Hawajui tu namna ya kutumia mamlaka yao. Wazee wenye akili waliashastaafu saivi kuna vijana wasiojielewa.Nani atamfunga paka kengele
Nawashukuru wenye akili kwa kuelewa.Mtoa mada huwa nakubali Sana post zako....Sisi wenye Akili timamu tunaendelea kuomba MUNGU azidi kuwavua nguo hawa MAPONJOLO
Wee nani amekuambiaUkiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukifungua akaunti nje ya nchi na kununua mali nje au ndani ya nchi watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kampuni hewa kwa ajili ya kupiga fedha watajua na taarifa watazihifadhi.
Mapungufu pekee waliyonayo ni namna ya kutumia hizo taarifa mbaya kuhusu wewe kukuwajibisha.
Siku wakijua nguvu waliyonayo katika kuzitumia hizo taarifa walizo nazo dhidi ya Wanasiasa vishoka wa Tanzania ndo utakuwa mwanzo wa ukombozi wa Taifa letu Tanzania.
#NoreformNoelection
Wee nani amekuambia
Sa mbona wameuchuna tu kama hawaoni yanayoendelea au.....au ile wape ya kazi au aaah au basi bana
Na hawa ndo wanaifanya idara iwe kama sungusungu.Kuna tetesi huko “Teeth” wamejaa uvsisiem ukweli upoje
Kwahiyo hata mikataba aliyoingia Mama mingi kwa siku moja na ule wa DP WORLD wanajua ubovu wake lakini wameuchuna. Basi wangekuwa wanatoa sapoti kwa wanaharakati. Swali la kujiuliza ni kwamba hakuna ndugu yeyote wa TISS ambaye ametekwa na kuuawa. Kwa kweli nchi hii tunaonewa sana kwanini Mungu asishuke kutukomboa jamani. Ee Mungu Baba usiku huu tunakuomba komboa nchi yetu Tanzania dhidi ya WATESI. Amina.