Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta kodi hizo.
Kwanini wenzetu wanaweza sisi hata tuwekewe kodi ya kuvuta oxygen hatuta goma zaidi ya kusifu kuwa "anaupiga mwingi"?
Jee ni uchawi gani umetumika kutuloga hadi kuwa taifa la mazombie?