Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
CCM wanaroga wananchi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenge wa uhuru ndio umetufanya mazombie.Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta kodi hizo.
Kwanini wenzetu wanaweza sisi hata tuwekewe kodi ya kuvuta oxygen hatuta goma zaidi ya kusifu kuwa "anaupiga mwingi"?
Jee ni uchawi gani umetumika kutuloga hadi kuwa taifa la mazombie?
Anzisha upinzani wakoShida ni upinzani wanatuuza kila siku. Kwa yanayoendelea upinzani walipashwa kuitisha la mgambo kieleweke. Hii mikutano ya sijui tutaruka na chopa ifike mwisho.
Wananchi wanahitaji kuongozwa kufika Ng’ambo ile.
Wajeda wameungana na watesi
Nchi inaongozwa na wezi
Upinzani walipashwa wawe kwenye zinakotungwa sheria na kupitisha miswada hewa..
Kenya hamna mwenge!!!Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta kodi hizo.
Kwanini wenzetu wanaweza sisi hata tuwekewe kodi ya kuvuta oxygen hatuta goma zaidi ya kusifu kuwa "anaupiga mwingi"?
Jee ni uchawi gani umetumika kutuloga hadi kuwa taifa la mazombie?
Wewe ni pimbi na kenge kabisa!Watanzania sio wapumbavu, wameweka viongozi na wanawaamini.
Kama muandamanishaji alichapwa Dodoma, hakuna aliyeandamana, DJ akapigwa segere matata, hakuna aliyeandamana, unatutaka nini?
Kwanza uchumi wetu kwa kiasi kikubwa haujaungwa na uchumi wa nchi na dunia kama kenya. Nimelima mahindi nyuma ya nyumba au shambani kwa ajili ya kula, kwani Mwigulu ananifata shambani kunikata kodi? Nafuga tu kuku nakula wakati wa sikukuu, kwani mwigulu atanifata eti nisikachinje mpaka nilipe kodi?
Napongeza serikali kwa ku-detach uchumi wetu huku vijijini na mfumo rasmi, nawahakikishia, hatutaandamana, labda kama kuna maandamano ya kumpongeza Samia
Usione watanzania Wako kimya siku wakiamka kupinga kenya hawataona ndaniHuko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta kodi hizo.
Kwanini wenzetu wanaweza sisi hata tuwekewe kodi ya kuvuta oxygen hatuta goma zaidi ya kusifu kuwa "anaupiga mwingi"?
Jee ni uchawi gani umetumika kutuloga hadi kuwa taifa la mazombie?
Sisi ni waogaHuko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta kodi hizo.
Kwanini wenzetu wanaweza sisi hata tuwekewe kodi ya kuvuta oxygen hatuta goma zaidi ya kusifu kuwa "anaupiga mwingi"?
Jee ni uchawi gani umetumika kutuloga hadi kuwa taifa la mazombie?
Kimsingi Tanzania bado hatujakutana na maisha magumu kwa miaka ya karibuni ukiachilia mbali baada ya vita ya kagera.Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta kodi hizo.
Kwanini wenzetu wanaweza sisi hata tuwekewe kodi ya kuvuta oxygen hatuta goma zaidi ya kusifu kuwa "anaupiga mwingi"?
Jee ni uchawi gani umetumika kutuloga hadi kuwa taifa la mazombie?
🤣🤣🤣🤣Habal kamili.: rais wa tz arembua macho msibani
Si kweli 😂Mwenge,ukipita eneo lenu jua imeisha hiyo.
Mwenge wa Uhuru ambao uliwafanya waliotutangulia Uhuru, tuliopo sasa na Vizazi vyetu kuwa Wapumbavu tu Milele.