Watanzania sio wapumbavu, wameweka viongozi na wanawaamini.
Kama muandamanishaji alichapwa Dodoma, hakuna aliyeandamana, DJ akapigwa segere matata, hakuna aliyeandamana, unatutaka nini?
Kwanza uchumi wetu kwa kiasi kikubwa haujaungwa na uchumi wa nchi na dunia kama kenya. Nimelima mahindi nyuma ya nyumba au shambani kwa ajili ya kula, kwani Mwigulu ananifata shambani kunikata kodi? Nafuga tu kuku nakula wakati wa sikukuu, kwani mwigulu atanifata eti nisikachinje mpaka nilipe kodi?
Napongeza serikali kwa ku-detach uchumi wetu huku vijijini na mfumo rasmi, nawahakikishia, hatutaandamana, labda kama kuna maandamano ya kumpongeza Samia