Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

Shida ni upinzani wanatuuza kila siku. Kwa yanayoendelea upinzani walipashwa kuitisha la mgambo kieleweke. Hii mikutano ya sijui tutaruka na chopa ifike mwisho.
Wananchi wanahitaji kuongozwa kufika Ng’ambo ile.
Wajeda wameungana na watesi
Nchi inaongozwa na wezi
Upinzani walipashwa wawe kwenye zinakotungwa sheria na kupitisha miswada hewa..
Mandamano ya sasa Kenya hayajaitishwa na upinzani amka utajikojolea
 
Asilimia kubwa ya Watanzania ni Mazezeta.
Ona vijana wa Kenya wanayo andika mitandaoni! Ni kutudharau tuu kutokana na vijana tulio nao.
 

Attachments

  • IMG-20240626-WA0010.jpg
    IMG-20240626-WA0010.jpg
    54.6 KB · Views: 1
Ona vijana wa Kenya wanayo andika mitandaoni! Ni kutudharau tuu kutokana na vijana tulio nao.
Euphoria, sasa wakichoma kama Wasomalia watakuja huku kama Wakimbizi halafu hapo ndio wataelewa maisha ya ukimbizini.
 
Euphoria, sasa wakichoma kama Wasomalia watakuja huku kama Wakimbizi halafu hapo ndio wataelewa maisha ya ukimbizini.
Hujawaelewa hiyo kebehi yao, wanasema wao ndio danger yenyewe! Wakija huku taifa la kina Mwijaku na Steve Nyerere wanatufukuza na kuishi hapa. Anyway sio uhalisia bali ni jejeli ya aina fulani kutokana na vijana wa hapa kwetu kuishi maisha ya "kichawa" baala ya kuwa majasiri.
 
Watanzania sio wapumbavu, wameweka viongozi na wanawaamini.

Kama muandamanishaji alichapwa Dodoma, hakuna aliyeandamana, DJ akapigwa segere matata, hakuna aliyeandamana, unatutaka nini?

Kwanza uchumi wetu kwa kiasi kikubwa haujaungwa na uchumi wa nchi na dunia kama kenya. Nimelima mahindi nyuma ya nyumba au shambani kwa ajili ya kula, kwani Mwigulu ananifata shambani kunikata kodi? Nafuga tu kuku nakula wakati wa sikukuu, kwani mwigulu atanifata eti nisikachinje mpaka nilipe kodi?

Ya mtu kapandishiwa bei ya bia, grants, ma pombe la laki kwa chupa mimi wa kijijini niandamane kwa ajili yake wakati nina ka supa a.k.a mbandule, komoni, ulanzi mdindifu na mkangafu umejaa pamoja na rubisi? Nakoboa mahindi kwa bei chee! Mtukome!

Napongeza serikali kwa ku-detach uchumi wetu huku vijijini na mfumo rasmi, nawahakikishia, hatutaandamana, labda kama kuna maandamano ya kumpongeza Samia
Akili yako ilpoishia ndipo cc zetu zimeanzia hapo kwa hyo ww ni kilaza
 
Back
Top Bottom