Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta kodi hizo.
Kwanini wenzetu wanaweza sisi hata tuwekewe kodi ya kuvuta oxygen hatuta goma zaidi ya kusifu kuwa "anaupiga mwingi"?
Jee ni uchawi gani umetumika kutuloga hadi kuwa taifa la mazombie?
 

Attachments

  • VID-20240619-WA0022.mp4
    18 MB
Babu yangu ni mkenya

Sijui nihamie huko

Hao ukiacha kiswahili chao kibovu wanajielewa sana upstairs
 
Mwenge wa Uhuru ambao uliwafanya waliotutangulia Uhuru, tuliopo sasa na Vizazi vyetu kuwa Wapumbavu tu Milele.
 
Shida ni upinzani wanatuuza kila siku. Kwa yanayoendelea upinzani walipashwa kuitisha la mgambo kieleweke. Hii mikutano ya sijui tutaruka na chopa ifike mwisho.
Wananchi wanahitaji kuongozwa kufika Ng’ambo ile.
Wajeda wameungana na watesi
Nchi inaongozwa na wezi
Upinzani walipashwa wawe kwenye zinakotungwa sheria na kupitisha miswada hewa..
 
Mbio mbio! Umulike!!
 
Steve Bannon anaita “controlled opposition” hiyo ndiyo iko tanzagiza ndiyo maana hausikii chochote kwenye mambo muhimu yanayogusa wengi ambayo yanaweza kuangusha serikali ya tanzagiza, sasa kenya ni tofauti kidogo opposition wanataka kuiangusha serikali hivyo wakipata nafasi wanaitumia hasa kufanikisha lengo lao kama opposition hiyo ndiyo tofauti …
 
Watanzania sio wapumbavu, wameweka viongozi na wanawaamini.

Kama muandamanishaji alichapwa Dodoma, hakuna aliyeandamana, DJ akapigwa segere matata, hakuna aliyeandamana, unatutaka nini?

Kwanza uchumi wetu kwa kiasi kikubwa haujaungwa na uchumi wa nchi na dunia kama kenya. Nimelima mahindi nyuma ya nyumba au shambani kwa ajili ya kula, kwani Mwigulu ananifata shambani kunikata kodi? Nafuga tu kuku nakula wakati wa sikukuu, kwani mwigulu atanifata eti nisikachinje mpaka nilipe kodi?

Ya mtu kapandishiwa bei ya bia, grants, ma pombe la laki kwa chupa mimi wa kijijini niandamane kwa ajili yake wakati nina ka supa a.k.a mbandule, komoni, ulanzi mdindifu na mkangafu umejaa pamoja na rubisi? Nakoboa mahindi kwa bei chee! Mtukome!

Napongeza serikali kwa ku-detach uchumi wetu huku vijijini na mfumo rasmi, nawahakikishia, hatutaandamana, labda kama kuna maandamano ya kumpongeza Samia
 
Acha ujinga Kenya maandamano yameendeshwa na upinzani?

Unakera boya Mkuu wewe
 
Lakini mapambano ya Nairobi juu ya kodi wakenya wamesema watajiongoza bila vyama vya siasa na wamefanikiwa.
Hapa wapinzani wakiitisha maandamano mnawaambia walete watoto wao, na wakileta kinazuka kiroja kingine!
Sisi hatuko serious na lolote
 
Marehemu Jomo Kenyatta alikuwa na jina alilokuwa anawaita na JkN alikubali bila kutamka ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…