Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

Mwenge wa uhuru ndio umetufanya mazombie.
 
Hivi ubarozi wa Kenya hapa Dar upo sehemu Gani?natamani nihamie Kenya Kwa watu wanaojitambua.niwaache wtz ambao wamezoea kuburuzwa na wahuni kama mwigulu,Bashe na tulia
 
Anzisha upinzani wako
 
Kenya hamna mwenge!!!
 
Wewe ni pimbi na kenge kabisa!
 
Hapo sio wananchi kuandamana tu bali ni aina ya serikali yao, mnadhani Tanzania tukifanya maandamano kama Kenya ndio serikali itatusikiliza kama ilivyo Kenya?
 
Usione watanzania Wako kimya siku wakiamka kupinga kenya hawataona ndani
 
Watanzania ni mbumbumbu, wana uzombi na ni nusu maiti.
 
Sisi ni waoga
 
Hii nchi ya amani. Usilete uchochezi tutakupima "mkojo ".
 
Kimsingi Tanzania bado hatujakutana na maisha magumu kwa miaka ya karibuni ukiachilia mbali baada ya vita ya kagera.

Siku tukiipata hiyo hali ndiyo mambo yatabadilika. Watumishi hawa wanaolipwa mishahara kila mwezi, posho zipo na wizi unafanyika.
 
Sema ukiangalia kwa jicho la roho machawa ndo mashoga na ndo wanaenda itumbukiza hii nchi shimoni moja kwa moja.
Mnawachukulia kama wajinga ila usidharau nguvu ya mjinga kwenye upande wa kuharibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…