Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

Kwa sababu watu wetu wengi wanajua mbinu za kumudu maumivu...
 
Mkuu si mlisema kufikia 2020 upinzani hakutakuwepo na kweli bungeni hawapo!!! Mmesahau vitimbi na madhila mliowasababishia???

Yaani muanzishe matatizo halafu mlie kuwa wapinzani wamewauza!!! Kila mtu ashinde mechi zake Mkuu.

Na wapinzani tunawaomba watulie hivyo hivyo mpaka namba lisomeke.

Mlidhani wanaadhirika wapinzani pekee yao. Sasa hivi ni zamu yenu kulianzisha!!!

⚖️Justice for Asimwe#
 

⚖️Justice for Asimwe#
 
Tanzania ni taifa linaloongoza kuwa na watu wajinga na Mazezeta ulimwenguni
 
Bado threshold ya maumivu haijafikiwa.

Wewe ulidhani Wale Magaidi w Kenya walitoka Somalia au Kenya? Sasa hivi wako wapi?
 
Ukizoea maumivu hata yakija ya kubinywa pu...bu bado utaona ni kawaida. Wakenya mfumo wao walishajengewa si wa kuvumilia kero.
 
Toa ujinga wako hapa.
 
Ukizoea maumivu hata yakija ya kubinywa pu...bu bado utaona ni kawaida. Wakenya mfumo wao walishajengewa si wa kuvumilia kero.
Wakuu wa hawajaamua kuleta mabadiliko ktk nchi yao.

Wakiamua hata kesho mambo yanabadilika.
 

👏👏👏👏👏👏👏🔊🎧🎶🎵

⚖️Justice for Asimwe#
 
Imagine kwenye nishati muhimu kama ya gesi wameweka kodi alafu watu wako kimya tu


Inauma sema basi tu [emoji24]
 
Mwenge wa Uhuru ambao uliwafanya waliotutangulia Uhuru, tuliopo sasa na Vizazi vyetu kuwa Wapumbavu tu Milele.
Haya ni mawazo ya kupuuzwa kabisa.
Ugoigoi wa asili tu.
Hata hivyo, hakuna sababu ya kufanya vurugu za kuumiza wengi wasio na hatia.
Ni muhimu ikibidi akili itumike waumizwe watesi.
 
Haya ni mawazo ya kupuuzwa kabisa.
Ugoigoi wa asili tu.
Hata hivyo, hakuna sababu ya kufanya vurugu za kuumiza wengi wasio na hatia.
Ni muhimu ikibidi akili itumike waumizwe watesi.

Mkuu kuandama ni tofauti na kufanya fujo vurugu. Na mara nyingi waleta fujo ni polisi wakitumiwa na wanaharamu!!!

⚖️Justice for Asimwe#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…