Mbona wapo madogo waliosoma kayumba na wameondoka na 1.7.Matokeo ya NECTA tumeyaona, miswaki tunaiona kwa kayumba.
Unayo matokeo ya wapika nyanya yanayosimamiwa na baraza lolote yanayoonyesha wamefanikiwa kuwashinda watu kama wa St. Francis????
A sad reality of life..Hapo kuna bodaboda na mabaamed wa kutosha
Juma Nature kazaliwa uswahilini na anaijua vizuri mitaa. Ni hilo group la Miswaki FC, aliishia elimu ya chini sana na alikuwa na muda mwingi kuijua mitaa na kupata umaarufu usio na nguvu ya elimu nyuma.Faida atakayokuwa nayo aliyepata zero ni kuijua mitaa mapema na jinsi watu wana hustle. So hata aliyepata one akaenda chuo akamaliza halafu akaiingia mtaani yule aliyepata 0 atakuwa na uhakika wa kusurvive kuliko huyu aliyepata 1 labda kama aajiriwe.
Pia hospitalini kuna waliokunywa sumu ila wakatibiwa wakapona, na hapo utasema basi sumu kiwe kinywaji na kitozwe kodi.Mbona wapo madogo waliosoma kayumba na wameondoka na 1.7.
Samia 5 tenaZero 200.
Mwenye Division 1 kashaipata ndio hivyo hata umuue haifutiki, mwenye Mswaki ndio hivyo ashaupata hata awe na connectio au hana.Division one bila connections za maana ni sawa na takataka..
Sijasema mtu mwenye 0 atampita mwenye 1 kimaisha. Namaanisha pale mwenye 1 kamaliza chuo halaf kakosa ajira.Juma Nature kazaliwa uswahilini na anaijua vizuri mitaa. Ni hilo group la Miswaki FC, aliishia elimu ya chini sana na alikuwa na muda mwingi kuijua mitaa na kupata umaarufu usio na nguvu ya elimu nyuma.
Fred Ngajiro "Vunjabei" ni mshamba wa kutoka kwa wauza mbao mkoani uko, hajui lolote kuhusu jiji na ana elimu ya juu (Master's) na alikuwa na ufaulu wa Division 1 kaka sio 2.
Juma Nature anamzidi Vunjabei kimaisha??
Lucas Mwashambwa Mama amewafikia wengi na machozi yanambubujika Kwa furaha. Elimu Bure na sera ya Ccm ya quantity isiyozingatia quality. Elimu ambayo watunga sera wanaogopa hata kuwapeleka watoto wao hukomatokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo.
Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu.
Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika.
Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249 wamepata division zero. Unajiuliza hii shule ina uongozi kweli? Afisa Elimu nae analipwa mshahara kabisa? Nini kifanyike wakuu?View attachment 3211475
View attachment 3211479
View attachment 3211481
View attachment 3211491
View attachment 3211492
Soma: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!
Sijasema pia shule za kayumba ni bora kuliko za private.Pia hospitalini kuna waliokunywa sumu ila wakatibiwa wakapona, na hapo utasema basi sumu kiwe kinywaji na kitozwe kodi.
Exceptions za mtu mmoja kati ya elfu 10 hazitoi mwongozo wa maisha yawe vipi.
Kumbe ni 92 cream, nilidhani ni 600+.Wakati wengine wanalia na zero, St francis wanafunzi wote 92 Wana division one point 7,
❤️🥱🙏Uzi hauna la maana kabisaa Afisa Elimu anahusikaje hapo. Huenda kuna mambo mengi hapo, huenda wazazi hawajali, miundo mbinu na vifaa wezeshi havitoshi kutokana na umaskini, wanafunzi wengi kuliko idadi ya watu. Kusimamia taasisi kama huna uwezeshaji (facilities ni zero).
Wewe ni mchonganishi na unakoekekea utakuwa mchawi Poor Brain To yeye Evelyn Salt
S0493 AL-HARAMAIN ISLAMIC SEMINARYNitajia shule ya EM ambayo mwanafunzi wake kapata daraja la nne ambalo ni la mwisho
Wewe kama Mzazi pia una wajibu wa kutoa hamasa na kumsisitiza mwanao kusoma kwa bidii na siyo kuachia kazi hiyo kwa walimu pekee. Timiza wajibu wako vyema.Lucas Mwashambwa Mama amewafikia wengi na machozi yanambubujika Kwa furaha. Elimu Bure na sera ya Ccm ya quantity isiyozingatia quality. Elimu ambayo watunga sera wanaogopa hata kuwapeleka watoto wao huko
Hao madogo waliopata matokeo leo nani kakosa ajira mpaka uanze kusema mwenye zero amempita mwenye 1 kimaisha?Sijasema mtu mwenye 0 atampita mwenye 1 kimaisha. Namaanisha pale mwenye 1 kamaliza chuo halaf kakosa ajira.
Diamond ana mtoto anayesoma kayumba, ili aje afanikiwa kwa kuimba kama yeye? Kama kayumba ni muhimu ungekutana na watoto wa Diamond wakienda chekechea za Tandale.Balidi swali dogo kati ya Diamond na Vunjabei nani kasoma? Na nani kamzidi mwenzake kimaisha?
Kwan afisa elimu ndo kafanya mitian? Na ndo mdau pekee wa elimu?? Bas kamuondoe 😍matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo.
Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu.
Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika.
Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249 wamepata division zero. Unajiuliza hii shule ina uongozi kweli? Afisa Elimu nae analipwa mshahara kabisa? Nini kifanyike wakuu?View attachment 3211475
View attachment 3211479
View attachment 3211481
View attachment 3211491
View attachment 3211492
Soma: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!
Kati ya hao 600 kuna yeyote ana one ya point 7Kumbe ni 92 cream, nilidhani ni 600+.
Hivi mnalinganisha msjina ya shule au mfumo wa shule kwa ujumla.
Hata huko Kitunda kuna waliofaulu