Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Subiri 2025Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanndanyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.
Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Achana na kanda ya ziwa, sasa hivi nchi nzima imeuchoka na kukinahi uongozi huu wa awamu ya sita.Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.
Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Siasa za NCHI MASIKINI SHIDA SANA viongozi wanataka watawale mileleHakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Msema kweli mpenzi wa Mungu.Achana na kanda ya ziwa, sasa hivi nchi nzima imeuchoka na kukinahi uongozi huu wa awamu ya sita.
Achana na hao unaoona wanapewa hela ya mboga ya siku moja kisha wanagalagala kusifia.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbona unataka kuifanya kanda ya ziwa kuwa maalum saaaaana? Why? Umefanya utafiti gani ewe SG?Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.
Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.
Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.
Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Security guard baba yakoMbona unataka kuifanya kanda ya ziwa kuwa maalum saaaaana? Why? Umefanya utafiti gani ewe SG?
DuhUkitaka kupima kama unakubalika na raia afanye kitu kimoja kirahisi tu!
Aruhusu hizi Oline media ama luninga za kimtandao zikusanye maoni kuhusu utendaji kazi wake na mambo ambayo anafanya kama watanganyika wanamuelewa.
Yaani hakuna siku Mzanzibar atakuja kuiacha Zanzibar aje aiendeleze Tanganyika kamwe! Chukua hiyo Mkuu!
Labda wewe uliye kalia umbea nauzushi wako.lakini mamilioni ya watanzania wanampenda sana Rais Samia na wanaendelea kumuunga mkono kwa nguvu zao zote.
Sio kanda ya ziwa, nafikiri ni nchi nzima, wananchi wanajiona kama wametengwa. Hasa wale wanaitwa wanyonge!
Umeshapanic tayari, tuondokee hapa na kanda ya ziwa yako ebo!Security guard baba yako