KERO Panel za usahihishaji mitihani ya kitaifa form two na form 4 - Waziri wa Elimu ziangaliwe upya, kuna ukabila uliokithiri

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Unaona ilo tu hujaona la viongoz wakuu wa nchi kuchagua watot na wakwe zao ,mashemej,washenga wao kua kwenye uongoz? Na ukiuliza utaulizwa kama wanauwezo wanyimwe nafas kisa Wana undugu? Na mm nakuuliza kama watu Wana uwezo na wamesoma wanyimwe nafas kisa wametokea mkoa flan ??
 
Mm naomba ni kuulize swali hapo.kwan mchakato wakupata hao watu kwenda kwenye panel fulani unafanyika vp?

Nimeona umeongelea panel moja tu hiyo ya bios,geo na chem vp hizo nyingine?

Pia sifa zipoje kwa sababu kuna walimu mwenye uwezo mdogo.uwezi mpeleka kafanye marking kwa mitihani mingi hivyo.

Wapo wenye uzoefu na hiyo kazi lazima wawe kipaumbele ilikufanya kazi kwa umakini na usanifu . Wapo mwenye uwezo mkubwa kwa hiyo wanaweza kufikiria kwa mapana zaidi kuliko kulenga karatasi ya majibu tu kama ilivyo.
 
inaangushwa na watendaji wabovu ambao hawana chembe ya uza
inaangushwa na watendaji wabovu ambao hawana chembe ya uzalendo

sasa sina kuna majina ya watahiniwa kwa somo husika (ISAL) upendeleo upande wa necta umezid yaani ni mjuano wa kufa mtu
 
Soma tena vizuri. Anaongelea upendeleo wa kikabila kwa walimu walio kwenye panel za kusahihisha mitihani, siyo upendeleo kwenye kusahisha.
 
Mwalimu kaumia sana kutoswa kusahihisha,sikiliza mwalimu ,walimu wote hamuwezi kwenda kusahihisha hamtatosha,wewe omba mwakani unaweza pata
 
mkuu nimeongelea pannel tatu ya kwanza ya chemistry pili geography na tatu biology ambazo nimekuwa nikitembelea kama external yaani ukabila umezidi, upendeleo umezidi, tumeshauri wizara ya elimu na baraza la mitihani itenganishe usahihishaji wa kidato 4 peke yakee na chapili peke yake lakini necta imetia pamba. nilishuhudia markers wakiingia saa 12 asubui na kutoka saa nne mpk saa 5usiku yaaani mda wote huyu mtu anamark! sasa kwanini necta isitenganishe usahihishajinwa form two na form four najua ni gharama mwaka 2023 kuliwahi tokea kesi mwanafuzi wa kidago cha nne katika shule x somo simulizi markers kamkosesha mtoto alipokata rufaaa akakuta alikoseshwa.Inaama markers, Chekers, totals ,enterer hawakuwa makini.Umakini waweza kupungua kutoka na mda mrefu kufanya kazi zaidi ya masaa 14.Tumeshalipigia kelele utaratibu wa usahihishaji urudi kama zamani form kivyake na form kivyake lakini necta wameziba masikio
 
Mwalimu kaumia sana kutoswa kusahihisha,sikiliza mwalimu ,walimu wote hamuwezi kwenda kusahihisha hamtatosha,wewe omba mwakani unaweza pata
haya kila anaeshauri unahisi ni muanga ?miaka 10 nimekuwa nikifanya external na uhakika naya nayoyaongea mwaka jana nilikuwa MARA na pia nilipata nilipita shinyanga mwaka juzi mbeya mwaka huu nipo pwani
 
Uzanzibara na uzanzibari mmeshindwa kutugawa,

Uzanzibar na utanganyika mmeshindwa,

Udini mmeshindwa

Mmeanza ukabila. Mtashindwa vibaya sana pia!!!
 
Kuna kitu hakiko sawa, wewe ni Mwalimu au external?

Tuachane na hayo, huu uandishi umenisukuma sana kutafakari elimu na uwezo wako wa kitaaluma kuliko hoja zako

Msimamizi wa Taaluma kama ulivyojitambulisha kama unawasilisha hoja kwa mtindo huu, huo usahihishaji wa mitahani ya wanafunzi kwa hiyo miaka kumi ulienda vizuri kweli?

Nachoka kabisa
 
Kabla hata sijasoma nikajua mchagga kashaharibu huku..hawa hawana aibu kwenye ukabila..hiyo CRDB ni ukabila...wana ukabila wa kishamba na laana
 
Kwa hiyo akifaulu somo A lazima afaulu na somo B?.
 
Tutawaona vyuo vikuu watafanya nn acha wawape marks za form four
 
Kada ya ualimu nadhani ina laana.Kusimamia tu mitihani ya Taifa usipotoa rushwa utakaa mpka usitaafu hujasimamia mtihani wowote wa Taifa.Nawaona Walimu hapa wanakuja kulialia kwangu as if mi nina msaada kwao.

Huwa nawashauri waache kazi hawanielewi.
 
Ukweli tuliouanzisha tokea miaka ya 90 sasa unazaa matunda, sasa watu wanaanza kujua sio tu kulikua na upendeleo wa kidini, kumbe huu ushenzi umejikita mizizi mpaka kwenye ukabila....
 
Akili za walimu utaziweza,, hapo anawaza viposho vya kusahihisha mitihani,,, Si ajabu ni Moja ya KADA ambazo CCM wanaziendesha kama magari mabovu,, watu wanaleta MADA sensitive za kubadili mifumo ambayo ubovu huo ndo matokeo yake,, yeye analeta Vioja
Ndo wamelifikisha taifa hapa...ile tareh 29 ningeyakuta na minguo yao ya tume ningeyatia viboko..ila yalibadilisha mapema baada ya mambo kuaribika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…