Ni kweli muda wa kufanya kazi ni mrefu sana .kama ulivyo andika hivyo je naomba kuuliza tenamkuu nimeongelea pannel tatu ya kwanza ya chemistry pili geography na tatu biology ambazo nimekuwa nikitembelea kama external yaani ukabila umezidi, upendeleo umezidi, tumeshauri wizara ya elimu na baraza la mitihani itenganishe usahihishaji wa kidato 4 peke yakee na chapili peke yake lakini necta imetia pam. nilishuhudia markers wakiingia saa 12 asubui na kutoka saa nne mpk saa 5usiku yaaani mda wote huyu mtu anamark! sasa kwanini necta isitenganishe usahihishajinwa form two na form four najua ni gharama mwaka 2023 kuliwahi tokea kesi mwanafuzi wa kidago cha nne katika shule x somo simulizi markers kamkosesha mtoto alipokata rufaaa akakuta alikoseshwa.Inaama markers, Chekers, totals ,enterer hawakuwa makini.Umakini waweza kupungua kutoka na mda mrefu kufanya kazi zaidi ya masaa 14.Tumeshalipigia kelele utaratibu wa usahihishaji urudi kama zamani form kivyake na form kivyake lakini necta wameziba masikio
Geog ilijua kutunyoosha na kutushangaza.Geography ni somo gumu sana,ni vile mnalichukulia poa poa!!
Chemistry au biology ikiingia kwenye mfumo wako unaweza toboa vizuri TU,lakin geog ikija vibaya unaweza zungusha kabisa!
Niloyonayo.We ulisoma shule ya jinsia gani?
😂😂😂😂😂 Geog ni kisangaaa.Hahaha hili somo advance nakumbuka lilikuja lakawaida yaan geo 2 ilikuwa maji kabisaaa hata mtaani ilikuwepo.
Matokeo SASA hahahah mwendo wakaraiiii tuuu.
Hapanaa, ila Geog ile ilijua kutu suprise.Kwa hiyo akifaulu somo A lazima afaulu na somo B?.
Ndio upo sahihi hayo nami nimeyashuhudia.haya ndio mambo nayazungumzia inahitajika reforms na wakusimamia hili ni baraza la mitihani la mitihani wenyewe
utaratibu unaotumika ni wa kikanjaaa ingiza watu kabila lako wengi wape vyeo
kuna watu necta wameshaifanya kama baraza lao hasa hao watu wa mara na wachaga
Tanzania ni nchi yenye utamaduni wa kuficha viini vya matatizo na kuwadanganya wananchi wake Eti TZ haina ukabila wala udini.Ukabila upo kila sehemu kuanzia ngazi ya urais na taasisi zote kama hizo unazizisema
mwaka 2023 fulani nilipita pannel ya chemistry kuna jamaa aliniambia tangu 2007 yeye anafanyq kazi zote form 4 and 6 sasa swali inaamana hakuna wengine wanaweza kufanya.Na mwingine mwaka jana hawakumwita wakadhani wamemsahau akaenda mpk katika centre wakamwambia jina halipo.Unaonekana una majungu sana sasa umalaya wao baada ya kumaliza kazi we unakuhusu nini? Umekua mwalimu wa nidhamu wa hadi kwenye maisha binafsi?
Fuatilia sheria za kazi na UMALAYA. Kumbuka walio wengi ni wake/waume za watu.Hayo mengine siyajui ila no. 2 Uhuni ijui umlaya watu wakiwa weekend, Mleta maada acha umbeya, Acha kufatilia mambo ya watu.
Hahahaha, nilmechelewa sana kugundua jambo hili ila uchaguzi wa mwaka huu umenifumbua macho....Kuna watu necta ni yao kila mwaka lazima waende..
Na kuna watu toka waajiriwe mpaka kustaafu hawatakaa waende maana hawana uchawa kwa wakuu
tatizo ni wenyeviti wa pannel ambao wameendekeza ukabila na mjuano.kwa sababu wenyeviti wa pannel wanausika katika ku screen markers na wamekua wala rushwa wazuri ya pesa na ya ngono.Chombo hiki kwa hakika kina changamoto sugu mathalani licha ya kuwa data base yake bado kinaendekeza pendeleo, mfano Kuna watumishi wana miaka 15 kazini na hawajawahi kusahihisha mitihani ya kitaifa na wakiuliza wanajibiwa subirieni mzunguko huku wengine tena ajira mpya wakipata nafasi hizo.
Ni chombo ambacho hata kama kina taarifa basi kina taarifa za kutilia mashaka sana na hakipati "real- time information from the field".
Mwaka 2015 katika zoezi la usimamizi wa mitihani ya Kidato cha pili wasimamizi walilipwa nusu ya fedha zao baadhi ya maeneo na zilizobaki mpaka leo hazijalipwa, sijui kama chombo hiki kina taarifa hizi.
Kuna faida yoyote ukiwa mwenyekitiNECTA wao kama wao wapo vizuri sana na wako very fair tatizo ni hao wenyeviti wa panels.
1. Pia watu kwenda marking sijui wanatumia kigezo Gani Kuna watu wapo wanafundisha miaka 10 HAWAJAWAHI KWENDA MARKING LAKINI KUNA WENGINE KILA MWAKA WANAENDA TU. HAPA KUNA TATIZO..
2. Vile vile Kuna watu wakienda mara moja wanasubirishwa miaka miwili mpaka mitatu ila wengine ni special hakuna kupitishwa hata mwaka mmoja.
3. ukabila upo Tena sana tu wenyeviti wa panel wasipotoka Kilimanjaro basi atatoka mara.
yap faida ipo kwani wewe ndio msimamizi wa pannel husika napia wewe ndio unapewa rungu la ku screen majinaKuna faida yoyote ukiwa mwenyekiti
Wachomekane tuNdio siku ukiwa mwenyekiti tu basi umejiakikishia kwenda Tena na Tena na Tena lakini pia kuchomeka ndugu na marafiki.
nachokizungumzia kuna kitu hukielewi watu wanaweza wakafanya hayo lakini ikumbukwe kuwa pale kuna wake za watu na wanaume za watu.Acha majungu watu wakikubaliana kupigana biology(mapenzi) sio tatizo.
Ilimradi wawe watu wazima above 18
Hadi misibani watu wanapiga biology sembuse kusahiisha mitihani🤣🤣🤣🤣😍😍😍