Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Aisee....nachokizungumzia kuna kitu hukielewi watu wanaweza wakafanya hayo lakini ikumbukwe kuwa pale kuna wake za watu na wanaume za watu.
pia upande wa wanawake wamekuwa wamekuwa wakipigwa mambo kwa kuaidiwa kwamba watakuwepo kila awamu. hebu baraza lirudishe hazi yake
Ukipewa rungu la kuscreen majina hiyo ni faida?yap faida ipo kwani wewe ndio msimamizi wa pannel husika napia wewe ndio unapewa rungu la ku screen majina
Tuungane na serikali ndio hawa wengine wajue kuwa uchagga sio kabila.Wachagga wenzangu ,tule na mwenye nguvu ,kundesha mapambano na serikali hakuna Friday.Kwa kuwa wachagga walibahatika kuwa na elimu tena kwa wingi tusijaribu kupoteza hii bahati kwa kusupport wapuuzi kama Lema.Wachaga nbawaonea sana .. CRDB alikuwa kimei na ilikua inaenda sanaaa mzee wa watu kastafu kamuachia mzanzibar na mswahilina mwenzenu benki inaporomoka mnasingizia mchaga . Hii nchi sijui kwa nini wachaga wanachukiwa sana
Kwa hiyo mama samuya nae ni mchaga?Sehemu akikaa mchaga tu basi watajazana hapo,hao watu ni mbwa
hujaelewkaTuungane na serikali ndio hawa wengine wajue kuwa uchagga sio kabila.Wachagga wenzangu ,tule na mwenye nguvu ,kundesha mapambano na serikali hakuna Friday.Kwa kuwa wachagga walibahatika kuwa na elimu tena kwa wingi tusijaribu kupoteza hii bahati kwa kusupport wapuuzi kama Lema.
Wanaolamika kuwa Necta kuna ukabila hawajui kuwa mmefika hapo kw sifa ma serikali kuwaamini pia
Mkuu mimi kwa ushuhuda ndio mara ya kwanza kupata hii kazi ,ila Katika moja na mbili nikaona kama walio wengi wanafahamiana basi nikamuuliza jamaa ambaye tunakaanae bweni moja changamoto za hii kazi :mwaka 2023 fulani nilipita pannel ya chemistry kuna jamaa aliniambia tangu 2007 yeye anafanyq kazi zote form 4 and 6 sasa swali inaamana hakuna wengine wanaweza kufanya.Na mwingine mwaka jana hawakumwita wakadhani wamemsahau akaenda mpk katika centre wakamwambia jina halipo.
sasa mara kwanza haya huwezi yaona kuna centa moja mwaka jana ilikiwa bukoba nadhani na mwaka huu ipo com pale kuna ukabila uliopitiliza haya tunayoongea tuna ushaihidi nayo mkuuMkuu mimi kwa ushuhuda ndio mara ya kwanza kupata hii kazi ,ila Katika moja na mbili nikaona kama walio wengi wanafahamiana basi nikamuuliza jamaa ambaye tunakaanae bweni moja changamoto za hii kazi :
1. Ni kazi inayohitaji mtu ajitolee maana inachosha
2. Uwe tayari kufanya kazi yoyote kama kubeba box,kuingiza data,kufanya marking n.k
3. Mazingira (ikumbukwe tunaitumia mabweni ya wanafunzi na baadhi ya vifaa vyao kama magodoro )na mazingira unayofikia unaezapokelewa vizuri au vibaya pia kama hujajipanga utakutana na mfumuko wa bei
Sasa mdau yeye anauzoefu na anasema uvumilivu pia uelewa wa majukumu ndio kitu pekee kinachofanya yeye aweze kushiriki Katika kazi hii kila mwaka,kwangu mimi naona uzoefu ni kitu cha msingi kama hautakuwa na viashiria vya upendeleo na hii kazi ipo Katika ratiba kamili lazma ikamilike kwa muda maalumu.
Kwenye kituo nilipo sijaona ukabila wote zaidi ya uzoefu wa jukumu
Pambaneni na hali zenu, kazi yenyewe kila mwaka wanaenda watu wale wale licha ya mke wangu kufanya kazi ya ualimu Kwa zaidi ya miaka 10+ lakini hajawahi kuitwa ila wenzie kila mwaka wamo
Sawa mkuu jee wewe kama external monitor maoni ya kazi yenu haswa ni ipi! Kama kila mwaka na wewe upo kwenye hii kazi huoni pia ni upendeleo kwako hamna watu wengine wenye uwezo wakufanya hii kazi? Kwanini usiandike barua ya wazi kwenda necta juu ya hayo uliyoyashuhudia maana nikudhorotesha kazi hii inayohitaji usimamizi makinisasa mara kwanza haya huwezi yaona kuna centa moja mwaka jana ilikiwa bukoba nadhani na mwaka huu ipo com pale kuna ukabila uliopitiliza haya tunayoongea tuna ushaihidi nayo mkuu
hapana sina lengo la kuzorotesha lengo nikushauri kama kuna uwezekano NECTA iifanyie kaziSawa mkuu jee wewe kama external monitor maoni ya kazi yenu haswa ni ipi! Kama kila mwaka na wewe upo kwenye hii kazi huoni pia ni upendeleo kwako hamna watu wengine wenye uwezo wakufanya hii kazi? Kwanini usiandike barua ya wazi kwenda necta juu ya hayo uliyoyashuhudia maana nikudhorotesha kazi hii i
Kwa hiyo ukiwa na uzoefu na ivumilivu ndiyo tiketi eti? Ila daaah!.. tuna mifumo mibovu sana nchi hii, wewe unaona ni sawa kuwa Walimu mpaka wanastaafu hawajawahi kunusa halafu Kuna wenzao tena ajira mpya tu wanatiki kama kawaida kwa kigezo ulichosema?...haa!...haa...haaa..... Kuna mmoja niliongea naye akaniambia hiyo kazi ni ngumu na kuna panel fulani kila wakienda Kuna mmoja wao anakufa duuuh...hiyo ndiyo hoja kweli?Mkuu mimi kwa ushuhuda ndio mara ya kwanza kupata hii kazi ,ila Katika moja na mbili nikaona kama walio wengi wanafahamiana basi nikamuuliza jamaa ambaye tunakaanae bweni moja changamoto za hii kazi :
1. Ni kazi inayohitaji mtu ajitolee maana inachosha
2. Uwe tayari kufanya kazi yoyote kama kubeba box,kuingiza data,kufanya marking n.k
3. Mazingira (ikumbukwe tunaitumia mabweni ya wanafunzi na baadhi ya vifaa vyao kama magodoro )na mazingira unayofikia unaezapokelewa vizuri au vibaya pia kama hujajipanga utakutana na mfumuko wa bei
Sasa mdau yeye anauzoefu na anasema uvumilivu pia uelewa wa majukumu ndio kitu pekee kinachofanya yeye aweze kushiriki Katika kazi hii kila mwaka,kwangu mimi naona uzoefu ni kitu cha msingi kama hautakuwa na viashiria vya upendeleo na hii kazi ipo Katika ratiba kamili lazma ikamilike kwa muda maalumu.
Kwenye kituo nilipo sijaona ukabila wote zaidi ya uzoefu wa jukumu
Hao watakuwa wanatoa rushwa ya ngono HAIWEZEKANI Kila mwaka wawepo wao tu.Pambaneni na hali zenu, kazi yenyewe kila mwaka wanaenda watu wale wale licha ya mke wangu kufanya kazi ya ualimu Kwa zaidi ya miaka 10+ lakini hajawahi kuitwa ila wenzie kila mwaka wamo
Anatakiwa ajaze fomu.Pambaneni na hali zenu, kazi yenyewe kila mwaka wanaenda watu wale wale licha ya mke wangu kufanya kazi ya ualimu Kwa zaidi ya miaka 10+ lakini hajawahi kuitwa ila wenzie kila mwaka wamo
Sasa kama hujui per script wanalipwa shilingi ngapi umejuaje kwamba wanapunjwa?Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
Anajaza karibia kila mwaka lakini holaaaAnatakiAnatakiwa ajaze fomu.
Kumbe utaratibu ndio uko hivyo? Na kama ndivyo basi Bora hasiende Tu sasaakienda tu mwambie akumbuke kugawa papuchi kila mwaka ataenda