Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

Inabidi atafutiwe demu sasa maana tayari ameachana na issue za kijeshi zilizokuwa zinambana.

Asife bila kuacha watoto.
Akati amesha zeeka, nguvu hana au atumie mkongo na vumbi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arudi bongo huku, afukuzane na mapaka ya kichawi
Ila achunge pesa za penshen kunapanya madanga huku watamfilisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenena
 
Panya slay queens wajipange, danga jipya lipo uraiani na pension yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akihitaji kuongeza power za chini........anitafute nimuagizie kayabago,akauwe malaya wa kibongo muvi.
 
kuna mtanzania MATAGA ana miaka 10 nyumbani anatafuta kazi , kabla ya panya kuzaliwa mpaka anamaliza kazi.
 
Wakat anafichua mabomu wengine uku wanafichua nyuchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…