Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

Inabidi atafutiwe demu sasa maana tayari ameachana na issue za kijeshi zilizokuwa zinambana.

Asife bila kuacha watoto.
Akati amesha zeeka, nguvu hana au atumie mkongo na vumbi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini.

Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia

Katika kazi ya miaka mitano aliyofanya Hadi leo Magawa amefanikiwa kugundua mabomu 71 yaliotegwa ardhini pamoja na vilipuzi kadhaa nchini Cambodia na kumfanya kuwa HeroRAT aliyefanikiwa zaidi wa APOPO

Wasimamizi wake wanasema kwamba panya huyo mwenye umri wa miaka saba ameanza kupunguza kasi yake akielekea kuwa mzee na anahitaji kuheshimu mahitaji yake

Magawa ni panya mkubwa wa kijeshi wa kiafrika aliyezaliwa nchini Tanzania mnamo Novemba 2014. Alikulia katika kituo cha Mafunzo na Utafiti cha APOPO nchini Tanzania ambapo alijifunza jinsi ya kupata vilipuzi kwa kutumia hisia zake za ajabu za kunusa. Magawa kisha alihamia Siem Reap huko Cambodia mnamo 2016, ambapo alianza kazi yake yenye mafanikio.

View attachment 1808755
Arudi bongo huku, afukuzane na mapaka ya kichawi
Ila achunge pesa za penshen kunapanya madanga huku watamfilisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenena
 
Panya slay queens wajipange, danga jipya lipo uraiani na pension yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akihitaji kuongeza power za chini........anitafute nimuagizie kayabago,akauwe malaya wa kibongo muvi.
 
panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini.

Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia

Katika kazi ya miaka mitano aliyofanya Hadi leo Magawa amefanikiwa kugundua mabomu 71 yaliotegwa ardhini pamoja na vilipuzi kadhaa nchini Cambodia na kumfanya kuwa HeroRAT aliyefanikiwa zaidi wa APOPO

Wasimamizi wake wanasema kwamba panya huyo mwenye umri wa miaka saba ameanza kupunguza kasi yake akielekea kuwa mzee na anahitaji kuheshimu mahitaji yake

Magawa ni panya mkubwa wa kijeshi wa kiafrika aliyezaliwa nchini Tanzania mnamo Novemba 2014. Alikulia katika kituo cha Mafunzo na Utafiti cha APOPO nchini Tanzania ambapo alijifunza jinsi ya kupata vilipuzi kwa kutumia hisia zake za ajabu za kunusa. Magawa kisha alihamia Siem Reap huko Cambodia mnamo 2016, ambapo alianza kazi yake yenye mafanikio.

View attachment 1808755
kuna mtanzania MATAGA ana miaka 10 nyumbani anatafuta kazi , kabla ya panya kuzaliwa mpaka anamaliza kazi.
 
Wakat anafichua mabomu wengine uku wanafichua nyuchi.
 
Back
Top Bottom