Mkuu wa wilaya ya Temeke jokate mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu
Source:
#EastAfricaRadioView attachment 2358700
Si tulikubaliana watuhumiwa wasikamatwe bila upelelezi? Tuanzie hapo. Kisha tujiulize:
"Hawa waliokamatwa wana vitambulisho vya kuwa wao ni Panya road?"