Panya road 100 wakamatwa Temeke

Panya road 100 wakamatwa Temeke

Pia Malezi mabovu na ukosefu wa ajira unategemea kijana hatoshawishika kushika silaha
Yah malezi...watu wanazazaa bila mpango...
Unakuta mwanamke kazalishwa baba wa mtoto hamtambui
Mama mtoto kutwa yuko kwenye baikoko na kudanga,mtoto anakuwa bora liende tu

Ova
 
Yah malezi...watu wanazazaa bila mpango...
Unakuta mwanamke kazalishwa baba wa mtoto hamtambui
Mama mtoto kutwa yuko kwenye baikoko na kudanga,mtoto anakuwa bora liende tu

Ova
Kazi ipo sheria ichukuwe mkondo wake kila mtu avune alichopanda
 
Pia kuna kiongozi katangaza ukipotelewa na kijana wako ukamtafute kituo cha polisi au muhimbili wodi ya mahututi sewahaji
 
Hili swala lisiwe la trend ya siku mbili tatu tutafute solution ya kudumu kama unajirani yako huko tabata, kawe, temeke, chanika, kunduchi nk ni panya road fanyeni utaratibu wa kupambana nao kupitia vikundi vya ulinzi shirikishi bado naamini longterm solution ipo huku chini mitaani , tupambane na uhalifu kwa nguvu zote
Washirikishwe Wajumbe wa nyumba 10 kumi kuunda vikundi vya sungusungu viwe kila mtaani kuna watu wasiopunguwa 10 wanaolinda mtaa wakati wa usiku kuwe kila siku kuna operesheni ya kulinda mitaa hao panya rodi watapotea hamta waona tena kabisa.
 
Wazo zuri ila implementation yake ni ngumu
 
Akili za nyumbu wanazijua wenyewe, watakuja kutetea wahalifu hapa eti ni haki za binadamu.
Uwe una acha ujinga. Hivi una jua zoazoa ya polisi wa Tz wewe? Polisi wa Tz wanaweza kuingiza ktk kesi ya mauaji vijana wa mtaa mzima hata kama ww hauski. Uta kuta huyu boya nae eti ana Degree? Hivi una fahamu taratibu za ukamataji?
View attachment 2358950
 
Huo ni uonevu. Ukamataji wa hovyo bila uchunguzi. Polisi ilikuwa wapi miaka zaidi ya 10 sasa? (Toka ile Clip ya Wanaume wa Dar es Salaam- Sauti ya mtu wa MARA).
Huwezi kurupuka uka kamata watu hovyo hovyo tu.
Jichanganye na ww udakwe tu
 
Si tulikubaliana watuhumiwa wasikamatwe bila upelelezi? Tuanzie hapo. Kisha tujiulize:

"Hawa waliokamatwa wana vitambulisho vya kuwa wao ni Panya road?"
Huyo mkuu mwenyewe wa wilaya ni hovyo kuliko hata hao panya road.
 
Uwe una acha ujinga. Hivi una jua zozoa ya polisi wa Tz wewe? Polisi wa Tz wanaweza kuingiza ktk kesi ya mauaji vijana wa mtaa mzima hata kama ww hauski. Uta kuta huyu boya nae eti ana Degree? Hivi una fahamu taratibu za ukamataji?
Wewe unatakaje kwani mkuu mbon naona km unakaa sana upande wa panyaroad wewe ndio wakili wao umetumwa uwafundishe polisi kazi yao?
 
Uwe una acha ujinga. Hivi una jua zoazoa ya polisi wa Tz wewe? Polisi wa Tz wanaweza kuingiza ktk kesi ya mauaji vijana wa mtaa mzima hata kama ww hauski. Uta kuta huyu boya nae eti ana Degree? Hivi una fahamu taratibu za ukamataji?
Ni akili za panya ndugu yangu wasamahe bure. Nakuhakikishia asilimia kubwa ya waliokamatwa siyo panya road. Hili ni igizo na litapita kama maigizo mengine. Ndiyo maana kuna wajinga walikuwa wansema dawa ya panya road ni kupigwa risasi nikawauliza wanajua polisi wetu kweli? Mbona watakufa wengi wasiyo na hatia!
 
Wewe unatakaje kwani mkuu mbon naona km unakaa sana upande wa panyaroad wewe ndio wakili wao umetumwa uwafundishe polisi kazi yao?
Nani alikuambia polisi wa Bongo wanajua kazi? Wengi wao wanafanya kazi kwa mihemko na kutegemea na hali. Hawafuati sheria. Hiyo zoa zoa ya mitaani haikubaliki hata kidogo. Hapo waliokamatwa wengi siyo panya road. Na ukiona polisi wanaofanya kazi kwa kusubiri matukio ndiyo wanakurupuka ujue ni vilaza.
 
Wewe unatakaje kwani mkuu mbon naona km unakaa sana upande wa panyaroad wewe ndio wakili wao umetumwa uwafundishe polisi kazi yao?
Mfano: unaona haya madhara?
FB_IMG_1663346182828.jpg
 
Wakatwe viganja vya mikono kwa wale ambao ni Panya Road.
 
Hapo waliokamatwa wengi siyo panya road.
Wewe umejuaje km sio panyaroad? Emu acha polisi wafanye kazi yao usijifanye kujua mkuu ukipigwa panga kesho wewe ndio wa kwanza kuwarushia matusi polisi, ndugu yako akipigwa panga usiku wa leo wewe ndio wa kwanza kuwalilia polisi hawafanyi kazi... Waache polisi wafanye kazi yao
 
mh sasa hapo kijana asije akazubaazubaa mtaani maana saivi itakua ni sombasomba tu,
 
Wewe unatakaje kwani mkuu mbon naona km unakaa sana upande wa panyaroad wewe ndio wakili wao umetumwa uwafundishe polisi kazi yao?
Ropoka tu..siku mdogo wako alie kutembelea kwako akidakwa akapewa kesi ya mauaji ndio utajua umhimu wa The Rule of the Law & PGO
 
Back
Top Bottom