City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Hili swala lisiwe la trend ya siku mbili tatu tutafute solution ya kudumu kama unajirani yako huko tabata, kawe, temeke, chanika, kunduchi nk ni panya road fanyeni utaratibu wa kupambana nao kupitia vikundi vya ulinzi shirikishi bado naamini longterm solution ipo huku chini mitaani , tupambane na uhalifu kwa nguvu zote