Panya road 100 wakamatwa Temeke

Si tulikubaliana watuhumiwa wasikamatwe bila upelelezi? Tuanzie hapo. Kisha tujiulize:

"Hawa waliokamatwa wana vitambulisho vya kuwa wao ni Panya road?"
 
Huo ni uonevu. Ukamataji wa hovyo bila uchunguzi. Polisi ilikuwa wapi miaka zaidi ya 10 sasa? (Toka ile Clip ya Wanaume wa Dar es Salaam- Sauti ya mtu wa MARA).
Huwezi kurupuka uka kamata watu hovyo hovyo tu.
Mpongeze kwanza DC
 
Hao wahalifu wasishike group la vijana wadogo pekee kwa vile walikovamia wanasema wapo mpaka watu wazima na wazee na wamama wanaochora raketi hivyo wote wanaohusika washikwe Ili kuondoa mizizi yote.
 
Wewe wabebe tu.watakwenda kujichuja mbele ya safari.
Huo ni uonevu. Ukamataji wa hovyo bila uchunguzi. Polisi ilikuwa wapi miaka zaidi ya 10 sasa? (Toka ile Clip ya Wanaume wa Dar es Salaam- Sauti ya mtu wa MARA).
Huwezi kurupuka uka kamata watu hovyo hovyo tu.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hao vijana wmekamatwa bila kuwatembezea kipigo? Nilitegemea mkuu wa wilaya aseme pia ni wangapi wameuawa Kwa kipigo ili liwe fundisho Kwa madogo wengine wapuuzi.
Hizo si kauli za kutoa public. Kuna mambo ya kusema na kuto kusema kama kiongozim problem is huna maadili hayo
 
Si tulikubaliana watuhumiwa wasikamatwe bila upelelezi? Tuanzie hapo. Kisha tujiulize:

"Hawa waliokamatwa wana vitambulisho vya kuwa wao ni Panya road?"
Ingebidi litumike neno "wanaotuhumiwa kuwa panya road" mpaka mahakama itakavyothibitisha vinginevyo
 
Ulikubariana na nani wewe nani ulikubariana nae kwani wanapokuja kupiga watu na kuua hua mnakubariana pia? Acha uchoko

Tulikubaliana Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan. Samahani kukujumuisha wewe kutokea Burundi.
 
Tulikubaliana Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan. Samahani kukujumuisha wewe kutokea Burundi.
Basi km ulikubariana endelea kukubariana sisi tukikamata tunachonga miguu.. endelea kuwafuga ila tusiwadake
 
Hapa hakuna kitu,ni "reaction tu"tunataka tuone action,sio mnaonyesha plan wakati tukio limetoka,Hawa wakuu wa wilaya,wengi wao wanauza sura tu na kula bia,watu wakiuliwa ndio wwnatokea na kutoa matamko,hawasemi plan zao za muda mrefu.
Bora aletwe mkuu wa mkoa wa Njombe,Mtaka anyooshe hii dar,huyu makala,amevimbisha mashavu tu,ma DC wake,Gondwe muuza sura na msanii tu,huyu kidoti,sasa njemba imetupiamo,anauza sura tu
 
Akili za nyumbu wanazijua wenyewe, watakuja kutetea wahalifu hapa eti ni haki za binadamu.
Mahakama pekee ndiyo iliyo na weledi wa kuwatambua wahalifu. Si raia, polisi wala mburula yeyote. Wewe ni Mahakama ya wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…