white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hata kama ni hivyo, haya mambo ya kuchukua sheria mkononi, yana madhara makubwa sana!!kwani ni watu wenhi wamepoteza maisha kwa chuki yu, mtu una ugomvi naye anakuitia mwizi, tayari!!na kibaya zaidi hao wanaoshambulia huwa haya hawanaha muda wakufuatilia ninkweli wao ni kutoa kipigo tu!!labda kungekuwa na vigezo fulani vya kuangalia labda mtuhumiwa amekutwa na mali aliyoiiba, hapo kidogo sawa.Watu wameshavurugwa,wamechoka na panya road
Ingekuwa inawezekana wapigwe risasiHabari za Jioni
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto. .
Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leoo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu. .
Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto. .
Am very sad about this. We are not savages we are really people and we should be civilized. People should take law at their own hands, and tonight I believe Panya Roads will retaliate. My house being in street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families. .
Duuuh kumbe watetezi wa panyaroad mpo wengi hivi?Hata kama ni hivyo, haya mambo ya kuchukua sheria mkononi, yana madhara makubwa sana!!kwani ni watu wenhi wamepoteza maisha kwa chuki yu, mtu una ugomvi naye anakuitia mwizi, tayari!!na kibaya zaidi hao wanaoshambulia huwa haya hawanaha muda wakufuatilia ninkweli wao ni kutoa kipigo tu!!labda kungilekuwaa vigezo fulani vya kuangalia labda mtuhumiwa amekutwa na mali aliyoiiba, hapo kidogo sawa.
Ndio maana kuna utawala wa sheria
Kwa hiyo wewe unashauri kama mtu kakuibia auliwe
Kuna mtu kanidhulumu elfu 20 nikamuue?
Ingetakiwa afikishwe kwenye sheria
Kwenye kuwashughulikia mnajuwaje huyu ndiye na huyu siye?
Kaka elewa maana ya utawala wa sheria vp kaka ,mdogo,au baba yako awe na uhasama na mtu alafu yule mtu amuitie mwizi auwawe kwa kuchomwa moto utajisikiaje hasa ukija kujua kuwa amewawa kwa kosa asilo stahili?wewe unajua damage ya panya Road ama unakuja kuandika hapa?
Punguza ujinga ndugu.haki za binadamu zinahusu wale wenye dhamana na mamlaka yakulinda usalama wa binadamu.sasa panya road ana mamlaka gani.inasemwa hivyo ili kusiwe na matumizi mabaya ya mamlaka kwasababu mamlaka ikiamua inaweza kuswaga wananchi wote kama mbuzi na msihoji chochote.vibaka wakifanya uhuni kuna vyombo vyenye mamlaka vyakuwachukulia hatua je siku ikitokea mamlaka ndio iliyovunja sheria ni nani wakuiwajibisha?.Ndo maana wenye akili wanaweka hizo haki na maangalizo.
Mmeanza kujitetea mmeanza mnateteana labda tusiwadake.. unaleta simulizi za 2012 tupo 2012 hapa? Tena msituchezee akili waambie bado tuna hasiraKaka elewa maana ya utawala wa sheria vp kaka ,mdogo,au baba yako awe na uhasama na mtu alafu yule mtu amuitie mwizi auwawe kwa kuchomwa moto utajisikiaje hasa ukija kujua kuwa amewawa kwa kosa asilo stahili?
Mm binafsi nilitokea kuchukia mchozo huo mwaka 2012 alipo uwa mwanafunzi wa kidato cha 4 majira ya saa 9 usiku alikuwa ametoka kujisomea raia walikuwa wamemkurupusha mwizi wao dogo akatokea kwa mbele akauwawa na kulipo kucha ikafahamika dhahiri kuwa dogo hakuhusika na tukio la wizi
Sasa imagine upo sehemu mfano kkoo anatokea mtu ambae ana uhasama na ww anakupigia yowe la mwiziiiiii simu yangu unadhani wanao jichukulia sheria mikononi watapata wasaa wa kukusikikiza au itakua ni kifo? Tafakari ndugu
Rejea hoja zangu hapo juu kwa upeo huru bila jazba mm nimetoa mifano na athari juu ya athali zinazo weza kutokea kwa kujichukulia sheria mikononi maana tabia hiyo ikishamiri sana inaweza kuhatarisha usalama wa raia wema na panya road piaMmeanza kujitetea mmeanza mnateteana labda tusiwadake.. unaleta simulizi za 2012 tupo 2012 hapa? Tena msituchezee akili waambie na wenzako bado tuna hasira
Acha iwe mlianza sisi tunamaliza.. yaan Mimi mtu anaewatetea panyaroad na yeye namuona panyaroad tu hamna tofauti.. wewe sheria gan inayokuruhusu kubeba panga na kuwakata raia unazijua sheria wewe? Unazijua sheria wewe? Wakati mnakata watu mapanga mlijua kuhusu sheria nyinyi? Wakati mnaua mlijua kuhusu sheria? tena unabahati na utadakwa tuRejea hoja zangu hapo juu kwa upeo huru bila jazba mm nimetoa mifano na athari juu ya athali zinazo weza kutokea kwa kujichukulia sheria mikononi maana tabia hiyo ikishamiri sana inaweza kuhatarisha usalama wa raia wema na panya road pia
Wewe Kaka unazungumzia sheria zipi? Mfumo upi wa haki hapa Tanzania ambao uko organized kwa ajili ya kubambikia kesi wapinzani? Hakuna kitu hicho hapa bongo.Habari za Jioni
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto. .
Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leoo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili swala kwa jicho la tatu. .
Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikiwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo. Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto. .
Am very sad about this. We are not savages we are really people and we should be civilized. People should take law at their own hands, and tonight I believe Panya Roads will retaliate. My house being in street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families. .
Ndugu yako yupi?Kwa hyo sisi tuliopoteza wapendwa wetu kwa kuuwawa na panya road tusihuzunike sababu panya road nao n binadamu ?
Jitafakari
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe sio binadamu tena ni mfuasi wa shetani.Hajawahi kuibiwa huyo kama akiibiwa hakika angepongeza binafsi nimefurahi sana kwa kuchomwa moto kwake
Shughulikia yeyote yule anayehusishwa nao. Easy fix
Mtu makini hawezi kuhusishwa nao kwa namna yeyote ile.
Wewe Kaka unazungumzia sheria zipi? Mfumo upi wa haki hapa Tanzania ambao uko organized kwa ajili ya kubambikia kesi wapinzani? Hakuna kitu hicho hapa bongo.
Tuombe Mungu tu
Ndugu kuna watu wanajionaga watakatifu sana bila kujua huo utakatifu wao unalindwa na sheria.siku kukiwa hakuna hizo sheria yoyote anaweza kuhukimiwa bila kupata muda wakusikilizwa au kuthibitishwa.
Hilo ndilo wanajua.Si wapinzani tu.
Nakazia: Kubambikizia watu kesi.
Mtu ambaye bado anafikiria kuua mwenzake kwa visababu vidogo vidogo ni Hayawani tu huyo.Ndiyo maana tuko hapa tulipo na mkwamo wa katiba mpya.
Watu hawajui haki za kila mtu hazina majadiliano. Tuna magenge ya wajinga.
Waliona mbali sana Ulimwengu, FAM, Lissu, Maria, Fatma na wenzao kwa kuyasema hadharani:
View attachment 2359209
Cc: Countrywide