Kwanza sikukuukiza wewe.polisi yuko kituoni zaidi ya miaka 20 kazi yake kupambana na vibaka inakuwaje asiwajue? mpaka wanavamia watu na kuwaumiza alafu unauliza polisi wafanyeje?
Ulishamuuliza mzazi waki mauchungu aliyoyapata wakati alipokuzaa hospitalini?Punguza jazba afande.
Kibatala na Tundu no wateja wao hao usiseme hivyo mkuu.Mi naona wauliwe kwasababu hawana mchango wowote zaidi ya kutuongezea kinyesi hapa duniani
Tatizi lenu hamna chochote kile zaidi ya kueneza chuki na misamiati yenu ya Ukimbari.Afande Mwita ka-maindi ?..😂😂
Idd n,Saa Panya Road wanaiba, watu huwa wanalia na kuwaona ni vijana wadogo na hata watoto, saa Polisi wakishughulika nao, watu huwatetea na kusema Polisi wanawaonea, hebu tuwe na chaguo moja, Panya Road washughulikiwe au haki za binadamu wawatetee Panya Road
Hearbeatss, ni wapi huko? Kitaa ndio wapi, na kama unawajua umepeleka taarifa zako kituo cha polisi? Unayo ripoti? Ni kituo gani cha polis. Nani mkuu wa kituo hicho cha polisi?Ngoja niwaambie kitu kimoja pengine watu hawajui, binafsi nimekulia sana kitaa hao panya road ni wadogo zetu, kaka zao uo upuuzi tushauacha saivi tupo tunaendesha boda boda na wengine tunajishughulisha na shughuli zingine yani usela tushaacha wengine washaenda maisha ya mbele n.k wachache sana bado wapo ktk uhuni
Umefanya utafiti huo wapi?Panya road ni vijana wa miaka 16-24 wale wa 28-35 ndo baadhi kama viongozi na wengine ndo wanajiita matembo hawa hawafanyi uahalifu wao wanawatoa madogo chambo
Kumbe na wewe ulikuwa muhuni?Hawa madogo hawana roho ya huruma hata kidogo yani wametuzidi hadi kaka zao enzi zetu uhuni wetu haukuwa kiwango iki mpka tunawaogopa
Hiyo lugha ni ya Kimbari. Unajenga nadharia ambayo haina mashiko. Ukumbuke Bangi imetumiwa kama silaha moja yapo ya kukandamiza jamii wakati ikieleweka kuwa hakuna ushqhidi wowote, hakuna uhusiano wowote ule wa mvuta bangi kuwa ni muhuni au JambaziHawa watoto wamekulia katk uhuni wameanza kuvuta bangi mapema sana, wameshuhudia matukio mengi tofauti na umri wao, yani wamevaa roho za kishetani mapema sana, yani akikushikia kisu huwa ni nadra sana kirudi bila damu,
Sasa kilichopo ni kwamba wana hasira na wananzengo maana waidokoa wakidakwa ni kifo so na wao wakiingia sehemu watu lazima mchakae ,
Kwaiyo ni kisasi na wizi, hao wanaovamia bunju hawakai bunju unakuta wanatoka sehem za uswahilini, wanakinukisha kila mtu anarudi ktk shimo lake,
Hapo juu unaleta ndharia ya kuwa hao ni 'Wanyama' hawana akili za 'Ubinadamu' na hayo maneno yako bado yanadondokea kwenye lugha za ukimbari....Bigoted, and Racist connotation.Hii trend itaenda watazoea damu za watu wataona kawaida watatamani kuona damu zaidi hapo ndipo mauaji yanapoanzia, polisi wakiwamata au raia wakiwauwa kisasi kinazid kuchochewa,
Kuwapata kwao au ukitaka kuwashuhudia mmoja auwawe alafu wamwache akazikwe na raia ndo utakapo waona panya road live , sasa kumjuwa yupi ni yupi ndo kazi ilipo ,wale ambao ni konki huwa wanakaa kimachale machale sana hata difenda zikija ni nadra sana wakamatwe wao, watakamatwa wavuta bangi tu ila panya wenyewe unakuta washa escape kitambo
Yani bora liwepo hata likiwanda linaloweza ajiri watu elfu tano wazolewe wakakae uko kama kambi wawe bize bila ivo
Shughuli ipo
Mi nimekulia mitaa ya wahuni so hao panya road tunawahukumu kulingana na itikeli ya wahuni ndo maana huwezi sikia panya road wamevamia mbagala au keko au mburahati au manzese never, niwapige picha mi kwani mwandishi w habari, jifunze kumind your own shit suala unaloweza solve solve lililo nje ya uwezo wako achana naloHearbeatss, ni wapi huko? Kitaa ndio wapi, na kama unawajua umepeleka taarifa zako kituo cha polisi? Unayo ripoti? Ni kituo gani cha polis. Nani mkuu wa kituo hicho cha polisi?
Umefanya utafiti huo wapi?
Kumbe na wewe ulikuwa muhuni?
Hiyo lugha ni ya Kimbari. Unajenga nadharia ambayo haina mashiko. Ukumbuke Bangi imetumiwa kama silaha moja yapo ya kukandamiza jamii wakati ikieleweka kuwa hakuna ushqhidi wowote, hakuna uhusiano wowote ule wa mvuta bangi kuwa ni muhuni au Jambazi
Hiyo juu pia ni lugha ya kimbari....'wanahasira' Wanahasira na nini haswa? Fafanua
Hapo juu unqjenga dhana ya 'Wale wa kule' wakati ulipoanza ulidai umeishi 'Kitaa' ukiwa na maana umeiwahi kuishi huko uswahilini au? Unabisha?
Hapo juu unaleta ndharia ya kuwa hao ni 'Wanyama' hawana akili za 'Ubinadamu' na hayo maneno yako bado yanadondokea kwenye lugha za ukimbari....Bigoted, and Racist connotation.
Wapi huko ulipo shuhudia hayo juu? Ulifanya nini kama Raia mwema kuona hao wanakamatwa? Je ulishindwaje kuwapiga picha na kuwapa taarifa polisi? Wacha kuchagiza Ukimbari. Wacha ugaidi
Yale yale....Unapendekeza Utumwa.
Kitaelweka....wacheni Ugaidi nyinyi maharamia.
Uwongo ndio utakukamata. Wacha ugaidi wa mtandaoni. Gaidi weweMi nimekulia mitaa ya wahuni so hao panya road tunawahukumu kulingana na itikeli ya wahuni ndo maana huwezi sikia panya road wamevamia mbagala au keko au mburahati au manzese never, niwapige picha mi kwani mwandishi w habari,
Huna lelote lile unaweza 'Kusolve' Tanzania. Matamshi yako yamejaa lugha ya Ukimbari, ni mkimbari tuu. You are a bigoted racist twaat!jifunze kumind your own shit suala unaloweza solve solve lililo nje ya uwezo wako achana nalo
Panya Road ndio nini? Wacha upuuzi msela.Huwezi kamata mtu tu eti kisa yupo kihuni huni ukamterm ni panya road mkamate ktk tukio , mi muhuni na msela haswa ila tushakuwa watu wazima ujinga nishauacha ,yani panya road wakitukuta njiani watakushambulia wewe mi wataniacha ,
Umeharisha tuu. Hakuna kipande chochote ambayo ulitoa pendekezo la 'kuwasaidia' Vijana badala yake umekuwa unawakandia.....Ati kuwasaidia?....na unasaidia vipi watu ambao sio watu? Wacha ugaidi.Iangaliwe namna ya kuwasaidia hawa vijana wahuni sio watu
Hyo ni violation of law , na ni criminal case , Maghufuli alitembea na hii shortcut mkamsema Sana , tena yeye alitembea nayo Kwa wote , jambazi Kwa vibaka , no majadiliano just kill themMi naona wauliwe kwasababu hawana mchango wowote zaidi ya kutuongezea kinyesi hapa duniani
Kama hukai Magomeni basi unakaa Mburahati, naotea!!Ngoja niwaambie kitu kimoja pengine watu hawajui, binafsi nimekulia sana kitaa hao panya road ni wadogo zetu, kaka zao uo upuuzi tushauacha saivi tupo tunaendesha boda boda na wengine tunajishughulisha na shughuli zingine yani usela tushaacha wengine washaenda maisha ya mbele n.k wachache sana bado wapo ktk uhuni,
Panya road ni vijana wa miaka 16-24 wale wa 28-35 ndo baadhi kama viongozi na wengine ndo wanajiita matembo hawa hawafanyi uahalifu wao wanawatoa madogo chambo
Hawa madogo hawana roho ya huruma hata kidogo yani wametuzidi hadi kaka zao enzi zetu uhuni wetu haukuwa kiwango iki mpka tunawaogopa
Hawa watoto wamekulia katk uhuni wameanza kuvuta bangi mapema sana, wameshuhudia matukio mengi tofauti na umri wao, yani wamevaa roho za kishetani mapema sana, yani akikushikia kisu huwa ni nadra sana kirudi bila damu,
Sasa kilichopo ni kwamba wana hasira na wananzengo maana waidokoa wakidakwa ni kifo so na wao wakiingia sehemu watu lazima mchakae ,
Kwaiyo ni kisasi na wizi, hao wanaovamia bunju hawakai bunju unakuta wanatoka sehem za uswahilini, wanakinukisha kila mtu anarudi ktk shimo lake,
Hii trend itaenda watazoea damu za watu wataona kawaida watatamani kuona damu zaidi hapo ndipo mauaji yanapoanzia, polisi wakiwamata au raia wakiwauwa kisasi kinazid kuchochewa,
Kuwapata kwao au ukitaka kuwashuhudia mmoja auwawe alafu wamwache akazikwe na raia ndo utakapo waona panya road live , sasa kumjuwa yupi ni yupi ndo kazi ilipo ,wale ambao ni konki huwa wanakaa kimachale machale sana hata difenda zikija ni nadra sana wakamatwe wao, watakamatwa wavuta bangi tu ila panya wenyewe unakuta washa escape kitambo
Yani bora liwepo hata likiwanda linaloweza ajiri watu elfu tano wazolewe wakakae uko kama kambi wawe bize bila ivo
Shughuli ipo
Umeongea mambo ya msingi sana na yenye mashiko mno,hawa wanadhuru watu kwa visasi na hawataacha kudhuru raia kwa maana hiyo.Ngoja niwaambie kitu kimoja pengine watu hawajui, binafsi nimekulia sana kitaa hao panya road ni wadogo zetu, kaka zao uo upuuzi tushauacha saivi tupo tunaendesha boda boda na wengine tunajishughulisha na shughuli zingine yani usela tushaacha wengine washaenda maisha ya mbele n.k wachache sana bado wapo ktk uhuni,
Panya road ni vijana wa miaka 16-24 wale wa 28-35 ndo baadhi kama viongozi na wengine ndo wanajiita matembo hawa hawafanyi uahalifu wao wanawatoa madogo chambo
Hawa madogo hawana roho ya huruma hata kidogo yani wametuzidi hadi kaka zao enzi zetu uhuni wetu haukuwa kiwango iki mpka tunawaogopa
Hawa watoto wamekulia katk uhuni wameanza kuvuta bangi mapema sana, wameshuhudia matukio mengi tofauti na umri wao, yani wamevaa roho za kishetani mapema sana, yani akikushikia kisu huwa ni nadra sana kirudi bila damu,
Sasa kilichopo ni kwamba wana hasira na wananzengo maana waidokoa wakidakwa ni kifo so na wao wakiingia sehemu watu lazima mchakae ,
Kwaiyo ni kisasi na wizi, hao wanaovamia bunju hawakai bunju unakuta wanatoka sehem za uswahilini, wanakinukisha kila mtu anarudi ktk shimo lake,
Hii trend itaenda watazoea damu za watu wataona kawaida watatamani kuona damu zaidi hapo ndipo mauaji yanapoanzia, polisi wakiwamata au raia wakiwauwa kisasi kinazid kuchochewa,
Kuwapata kwao au ukitaka kuwashuhudia mmoja auwawe alafu wamwache akazikwe na raia ndo utakapo waona panya road live , sasa kumjuwa yupi ni yupi ndo kazi ilipo ,wale ambao ni konki huwa wanakaa kimachale machale sana hata difenda zikija ni nadra sana wakamatwe wao, watakamatwa wavuta bangi tu ila panya wenyewe unakuta washa escape kitambo
Yani bora liwepo hata likiwanda linaloweza ajiri watu elfu tano wazolewe wakakae uko kama kambi wawe bize bila ivo
Shughuli ipo
🤸🤸KidogoooKama hukai Magomeni basi unakaa Mburahati, naotea!!