mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Tena huwa wanasifiwa kuwa ni Wajanja !!Mkuu samahani kwako wewe wezi wa mabilioni wapo sahihi na wala wizi wao hauna madhara ?
Nchi hii kweli nimeamini wananchi wake wamejaa roho mbaya saana ,unawezaje kuhalalisha wizi wa mabilioni ambayo ilikuwa inaweza kwenda kujenga vituo vya afya ama kununua madawa hospitalini.
Hujawahi kujiuliza vifo vinavyosababishwa na ukosefu wa huduma kuwa mbali ama ukosefu wa dawa vipi vingapi ?