Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

Magufuli aliwakuta wanatamba akawafuta kabisa.

Enzi za JK awa watoto walikuwa wanafunga mtaa na ikasemekana walishindikana.
We jamaa MAGUFULI SIJUI AMEKUPA KITU GANI?[emoji1787]raisi ahangaike na panya road kweli?OCD NA RPC WANAFANYA NINI?PUNGUZA MAHABA NIUE KWA JPM,AMESHATANGULIA MBELE ZA HAKI...
 
Mambo ya demokrasia hayo sasa mtulie kila kundi lina haki msijichukulie sheria mkononi muwakamate taratibu kwa mfumo wa kizanzibari na muwapeleke polisi kwa utulivu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 

Kalipio? Muhimu wote wapotezwe. Somo litajulikana wakati mitaa haipitiki. Huwezi kufanya kazi, kutembea usiku. Mke, watoto wako wakiuwawa na kuporwa kila kitu.
 

"Hii nchi ina raisi mwenye sauti nzuri ila ina watu katili wanaoilinda".
 
Dawa yao inachemka ,jamii imewapa muda wa kujitafakari ngoja dakika zao zinakaribia kuisha
 
Polisi wanacheza na hawa watoto na kingine watoto wamejua aliyeko juu ni mtu mpole mwenye huruma.

Leo hii Sirro akitoa amri kwa watu wake Panga road ni makaratasi dakika moja wameisha tunazika.

Mama akicheka na kima atavuna mabua
Nakumbuka heka heka ya kipindi kile kusaka panya road walitembeza marungu ya ugoko wenyewe wakatulia
 
Naona unaongea nadhalia hujui kabisa panya road ni vijana wa aina gani.
Ohooo,
mimi nilikuwa nadhani kuwa nao ni wanadamu waliolelewa na wanadamu isipokuwa wanasukumwana umasikini wa kipato, njaa na kukosa matumaini/kukata tamaa. Amen
 
Rais alitoa kauli maanake they are out of control. Maeneo yote ya Temeke, Chanika, Mbagala na ukanda wote huo watu wanaishi kama wapo vitani.
Mtoto wako, mke wako, pesa zako zikiporwa utamaliza kwa kutoa kauli?
 
Polisi wanangoja hadi Askari mmoja achomwe kisu ndio wajue kuwa hao vijana ni tishio,kama wakati hule alivyouliwa mwanajeshi ndio wakacharuka
 
Kuna wajinga furani wanasemaga interejensia yao ipo imala sasa kama vijana zaidi ya 20 wanasuka jambo na kwenda kulitekeleza bira ya hao form 4 vilaza kujua je wangekuwa na siraha za moto ingekuwaje?
 
Sehemu ambazo zina wahuni wao (walinda mtaa) huko wanakutana na resistance sio ya Dunia hii, maeneo kama manzese kwenye target yao hayapo
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…